Timu ya Yanga hawajiamini

Timu ya Yanga hawajiamini

Simba ni timu tunayojiamini hata mashabiki wake wanajielewa .
Kwa upande wa Yanga hamjiamini mnaiba iba wachezaji wetu .

Mnawaita kisiri kama wachawi halafu mnawawekea madawa yenu ya kichawi nakuwawekea fitina ili wahamie huko.

Kama mnajiamini acheni wachezaji wetu tafuteni wenu na mjiamini.
Namuwape mazoezi yakutosha ili wajue kucheza sio nasio mnahangaika na Simba tu acheni huo ni wizi.

Acheni wizi mbona sisi hatuhangaiki na wakwenu .
Imetosha kwa usumbufu mnaboa jamani.

Kha acheni uboya .
Kwa hiyo Onyango anaenda Yanga?
 
Timu nzima hadi viongozi wao wafungiwe hata tu-miaka tu-tano tu wasijihusishe na masuala yote ya soka.Hata u-mc!
 
Usinchekeshe bana kumbe mwili unataka ila moyo ni dhaifu?.hahahh usijali kabisa yani mwaka wenu huu
Ukweli unaufahamu kuwa simba nao sio wadhaifu mpendwa lolote laweza kutokea
 
Back
Top Bottom