Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekua kimyaaaa au kwa sbb Yanga hamchezi mnasubiria kipondo trh 7 sijui 10.Naam
Kwa hiyo Onyango anaenda Yanga?Simba ni timu tunayojiamini hata mashabiki wake wanajielewa .
Kwa upande wa Yanga hamjiamini mnaiba iba wachezaji wetu .
Mnawaita kisiri kama wachawi halafu mnawawekea madawa yenu ya kichawi nakuwawekea fitina ili wahamie huko.
Kama mnajiamini acheni wachezaji wetu tafuteni wenu na mjiamini.
Namuwape mazoezi yakutosha ili wajue kucheza sio nasio mnahangaika na Simba tu acheni huo ni wizi.
Acheni wizi mbona sisi hatuhangaiki na wakwenu .
Imetosha kwa usumbufu mnaboa jamani.
Kha acheni uboya .
Haha tuna kikosi imara this time utanikubali balaa😂Umekua kimyaaaa au kwa sbb Yanga hamchezi mnasubiria kipondo trh 7 sijui 10.
Wewe japo ni Yanga nakukubali sana hahahhahaHaha tuna kikosi imara this time utanikubali balaa😂
Basi sawa tukutane kilingeni namaanisha tukutane kwenye matokeoHaha tuna kikosi imara this time utanikubali balaa😂
Utaachaje kunikubali wakati unajua fika nakukubali hatari🤣Wewe japo ni Yanga nakukubali sana hahahhaha
Ndo maaana nyie hamna akili hahahah unamshangaa bibie tenaHivi wote tukiwa na akili kina nani watashabikia simba kama huyu mtoa uzi?
Plz uniachie nipige bhana usinibanie hee😅Basi sawa tukutane kilingeni namaanisha tukutane kwenye matokeo
Inapendeza rafikiUtaachaje kunikubali wakati unajua fika nakukubali hatari🤣
Mbona mkiendelea na kujiamini huku mtapiga sanaa yani mshindwe wenyewePlz uniachie nipige bhana usinibanie hee😅
Asante kwa kunitia moyo jamaniMbona mkiendelea na kujiamini huku mtapiga sanaa yani mshindwe wenyewe
Timu nzima hadi viongozi wao wafungiwe hata tu-miaka tu-tano tu wasijihusishe na masuala yote ya soka.Hata u-mc!Simba ni timu tunayojiamini hata mashabiki wake wanajielewa .
Kwa upande wa Yanga hamjiamini mnaiba iba wachezaji wetu .
Mnawaita kisiri kama wachawi halafu mnawawekea madawa yenu ya kichawi nakuwawekea fitina ili wahamie huko.
Kama mnajiamini acheni wachezaji wetu tafuteni wenu na mjiamini.
Namuwape mazoezi yakutosha ili wajue kucheza sio nasio mnahangaika na Simba tu acheni huo ni wizi.
Acheni wizi mbona sisi hatuhangaiki na wakwenu .
Imetosha kwa usumbufu mnaboa jamani.
Kha acheni uboya .
Usinchekeshe bana kumbe mwili unataka ila moyo ni dhaifu?.hahahh usijali kabisa yani mwaka wenu huuAsante kwa kunitia moyo jamani
Yabga or SimbaTimu nzima hadi viongozi wao wafungiwe hata tu-miaka tu-tano tu wasijihusishe na masuala yote ya soka.Hata u-mc!
Ukweli unaufahamu kuwa simba nao sio wadhaifu mpendwa lolote laweza kutokeaUsinchekeshe bana kumbe mwili unataka ila moyo ni dhaifu?.hahahh usijali kabisa yani mwaka wenu huu
Yanga Utopolo!Yabga or Simba
Anamaanisha Utopolo wafungiweYabga or Simba
Theeeeere you are. Kwenye mpira lolote laweza tokea for sureUkweli unaufahamu kuwa simba nao sio wadhaifu mpendwa lolote laweza kutokea
Hasa simba na Yanga hakunaga mbabe kwa mwenzio ni timing tuTheeeeere you are. Kwenye mpira lolote laweza tokea for sure