KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Ili wazalishe nishati yenye nafuu zaidi viwandani kwao; ambavyo vitatengeneza vya viwandani kutokana na mali ghafi zetu kama pamba tunazowauzia kwa bei cheee, watengeneze nguo ili watuuzie sisi hapa.Awamu hii hawaioni kenya kama tatizo ni rafiki na mpaka gesi wameamua kuwauzia,
Yaani badala ya kuhakikisha Raia wanapata nishati hii Kwa Bei rahisi,
Wanakwenda kuwauzia wakenya.
Ajabu sana hii.
Hiyo ndiyo akili yetu pana safari hii; na bado.