Hata huyo Mkenya akiinunua bado ardhi itakuwa mali ya rais wa jamuhuriAiuze kwa mgeni kutoka nje au aingie mkataba wa kuwekeza!?!!
Kuuza mali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa mtu asiye mzawa?
Rais kama msimamizi wa ardhi yote ya JMT, anasemaje juu ya hilo?
Sheria za ardhi No.4 na No.5, Zinasemaje juu ya hilo?
Umekaa ukafikiri au unaongea tuuSi bora hao wakenya waje tu ili wanunue hiyo ardhi maana haina faida yoyote kwa watu wengi wanaoimiliki. Nenda huko vijijini utakuta mtu anamiliki sio chini ya heka tano, lakini ni masikini wa kutupwa. Mtu wa hivyo si bora amuuzie huyo mkenya apate mtaji wa kufanyia biashara?
Wanashidwa kujua kuwa ardhi ya Tanzania ni ya umma ni MALI ya umma , yani serikali wakiitaji mda wowote wanaichukua,fasta sana na wanakulipa kama watavyoona wao.Ardhi ya Tanzania ni mali ya Rais.
Unaweza kufanya mbwembwe zote kama mhamiaji ila siku wakiitaka wanaichukua na hata wewe wanaweza kukuchukua ukaozea mahabusu na hutakuwa na kitu cha kufanya.
Nina USHAHIDI hapa ninapoishi jirani yangu mmoja ni mama anaishi kwenye nyumba ya ghorofa , ni ya mume WAKE ila ni mkenya ila jina la hati mime WAKE kaandika mama yake MZAZI ambaye ni Mpare Mtanzania.Wakenya ni majirani zetu na ndio nchi pekee duniani ambayo naweza kusema tunachangia vitu vingi sana. Kwa mfano, tunaongea lugha moja, chakula chetu kinafanana na kuna makabila mengi ambayo yapo Kenya na Tanzania.
Pamoja na ujirani wetu na mila na tamaduni kufanana lakini pia kuna tofauti kubwa sana baina yetu. Tofauti hizo ni kama Wakenya kuendekeza ukabila na uchu wa mali kupita kiasi.
Hoja kubwa ninayotaka kuijadili hapa ni kuhusu ardhi yetu.
Kenya kuna uhaba wa ardhi kutokana na ardhi kubwa kumilikiwa na matajiri wachache. Hali hiyo imepelekea Wakenya kuja kwa wingi Tanzania ili kutafuta fursa za kupata ardhi. Wakenya wanafanya hivyo kupitia mahusiano ya kimapenzi na dada na kaka zetu wa Kitanzania. Wakenya wanawarubuni ndugu zetu kimapenzi ili wapate urahisi wa kutumia ardhi yetu. Kitu cha kuogopa zaidi hawa watu wana rangi za ngozi na kuongea kama sisi kwahiyo ni vigumu kujua wameenea kwa kiasi gani (bila kutumia takwimu za uhamiaji) tofauti na wazungu.
Hivi ninavyoandika ndugu yangu ambaye ni wakili anamuwakilisha dada mmoja wa Kitanzania ambaye alirubuniwa kimapenzi na jamaa wa Kikenya na kuacha ardhi yake itumiwe lakini yule dada hapati chochote ilhali wameingia ubia kwenye mkataba wa uwekezaji. Kitu kinachonipa faraja ni kwamba ndugu yangu ananiambia licha ya kuwa anamuwakilisha mteja wake lakini hii kesi ni "personal " na atapigana kufa na kupona ili ashinde kesi! Ndugu yangu anafanya hivyo kwasababu anajua Wakenya hawana utu.
Sheria hairusu kabisa. Kenya ardhi hakuna , Kenyatta unapomuona pale inasemekana anamiliki karibu robo ya ardhi ya kenya ipo chini yake walitoa kwa BABA yake.Si bora hao wakenya waje tu ili wanunue hiyo ardhi maana haina faida yoyote kwa watu wengi wanaoimiliki. Nenda huko vijijini utakuta mtu anamiliki sio chini ya heka tano, lakini ni masikini wa kutupwa. Mtu wa hivyo si bora amuuzie huyo mkenya apate mtaji wa kufanyia biashara?