TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Nyani Ngabu,
We nae unakuaga kama ling'ombe, Lafuta clip ya video ya Ally Kessy(mb) usikilize kwa umakini ndio utajua ni kwanini watu wanatekwa.
 
KAMA USALAMA WA TAIFA , HAYO YOTE ULIYOELEZA YAPASWA KUFANYWA NA WAO.

Tatizo ni kujulikana aliyefanya.

Inaondoa dhana yote ya usalama wa taifa

Pia haya yote..bado wanabaki kuwa usalama wa Taifa kama hawatajibu.
 
Wakili Msomi mbona unaeleza vitu ambavyo ni speculative?
Reference yako ya Andrew Mayalla haina relevance na mambo ya leo. Kwa kuanza tu haya madai ya utesaji ni speculation. Si Ulimboka wala Roma Mkatoliki wamesema walitekwa na TISS.

Pili miaka hiyo ya Nyerere hakukuwa na uititiri wa vyama kama leo, ambapo kila mtu anaibuka na kusema lake kisa mbunge.

Tatu Lissue siyo proof kwamba utesaji na utekaji umefanywa na TISS.

Mbona mnaongelea sana hisia kuliko data na facts?

Uwakili wako ni wa nini?
 
Hawa TISS walishapoteza hadhi ya kuitwa Usalama wa Taifa. Taifa letu haliko salama hata chembe na matukio ya hivi karibuni yanathibitisha hivyo. Wanakula tu pesa za walala hoi chungu nzima wakati hawastahili tena kuwepo. Huwezi kusema kuna taasisi ya usalama wa Taifa nchini halafu Watanzania tuishi kwa taharuki kubwa kiasi hiki kila kona ya nchi yetu.
 
Wakili Msomi mbona unaeleza vitu ambavyo ni speculative?
Reference yako ya Andrew Mayalla haina relevance na mambo ya leo. Kwa kuanza tu haya madai ya utesaji ni speculation. Si Ulimboka wala Roma Mkatoliki wamesema walitekwa na TISS.

Pili miaka hiyo ya Nyerere hakukuwa na uititiri wa vyama kama leo, ambapo kila mtu anaibuka na kusema lake kisa mbunge.

Tatu Lissue siyo proof kwamba utesaji na utekaji umefanywa na TISS.

Mbona mnaongelea sana hisia kuliko data na facts?

Uwakili wako ni wa nini?
Unamhoji kaka msomi wa spesho skul na UDSM?

Utakuwa kilaza wewe...
 
Kwa hiyo miaka yote tangu ianzishwe, ndio leo mnatuambia kazi yao ndio hiyo!? Mbona malalamiko juu yake ni siku hizi na sio tangu!?
Uwe unatuliza akili na makalio unaposoma uzi.
Nyerere yuko miaka hii alipoifumua TISS ilipowatesa watu?
Ipo siku watakushughulikia na utalia na kusaga meno lkn hakuna atakayekusikia kwa sababu wote watakuwa hawapo.
 
Shukrani ndugu Pascal Mayalla kwa stori hiyo kuhusu Idara hii. Kuna watu wanadhani tunaolalamikia idara hii sio wazalendo wala hatujui umuhimu wake. Ni vizuri watu wakatambua kuwa idara hii inaweza kabisa kutekeleza majukumu yake bila kutuhumiwa na jamii-hasa inapofanya mambo kwa ueledi.

Hakuna tena ueledi ktk taasisi hii ndo maana hata tunapokuwa bar wanatusumbua. Wamejijengea taswira mbaya sana kwa shughuli zao kujikita ktk kudhoofisha vyama vya upinzani na sauti za wanaharakati na watu mbali mbali wanaohoji utendaji wa serikali. Kitu cha ajabu, huwasikii watu hawa wakitesa drug dealers kama kina Shikuba ambao hadi USA wanafahamika kwa madawa ya kulevya. Huwasikii wakiwatesa wanaotorosha Twiga. Huwasikii wakiwatesa wanasiasa walioingia mikataba ya kilaghai na kukomba raslimali zetu. Yaani ni sawa una ajiri mlinzi akulinde, unakuja kugundua hazuii wezi bali yeye ndo anaiba.
 
Back
Top Bottom