utaifakwanza
JF-Expert Member
- Feb 1, 2013
- 14,193
- 2,813
akili yako iko likizo nnKiufupi TISS wameshindwa kutimiza wajibu wao kwa miaka 20 iliyopita. Ufisadi na wizi wa nyara za serikali ni uthibitisho tosha kuwa wameshindwa kutimiza wajibu wao.
Huna akili mnyama fananania wewe!Tiss ndio baba na mama wa tanzania. Kazi iendelee sanaaaa
akili yako iko likizo nn
Amemtetea sana bashite na mkuu lkn ameona hamna hata dalili za udc au rc kaona kama mbwai naiwe mbwaipascal utasalimika kweli?
Unamhoji kaka msomi wa spesho skul na UDSM?Wakili Msomi mbona unaeleza vitu ambavyo ni speculative?
Reference yako ya Andrew Mayalla haina relevance na mambo ya leo. Kwa kuanza tu haya madai ya utesaji ni speculation. Si Ulimboka wala Roma Mkatoliki wamesema walitekwa na TISS.
Pili miaka hiyo ya Nyerere hakukuwa na uititiri wa vyama kama leo, ambapo kila mtu anaibuka na kusema lake kisa mbunge.
Tatu Lissue siyo proof kwamba utesaji na utekaji umefanywa na TISS.
Mbona mnaongelea sana hisia kuliko data na facts?
Uwakili wako ni wa nini?
Uwe unatuliza akili na makalio unaposoma uzi.Kwa hiyo miaka yote tangu ianzishwe, ndio leo mnatuambia kazi yao ndio hiyo!? Mbona malalamiko juu yake ni siku hizi na sio tangu!?
Niatakugongea like nyingi nikishapata msosi.Mke mwenzangu acha shobo utaolewa bila mahari