Naunga mkono hoja.Mkuu ulichowaza na kukisema na mimi nimewaza hivyo hivyo ila nimeshindwa kusema.
Naunga dots; mkuu pascal babake alikuwa RSO(watu waliingizwa sana kwenda huko kwa undugunization)- (fact ya kwanza), Mkuu pascal ni mwandishi wa habari (wanaofanya kazi hii wengi ni watu wa huko)-(Fact ya pili),mkuu pascal alishavaaga gwanda za bakabaka akaondoka(hawa ni interdisciplinary-wajeda huwa wanavulishwa gwanda na kuingizwa huko ref🙁interdisciplinary))-(fact ya tatu)
Mumeo atakuwa ni mmoja wa hao watesaji. Tetea tu mama. Siku mchuzi ukikumwagikia ndo utayakumbuka haya ya leo ya Paskali.
Mi nadhani Rais ameshaonesha wazi kasirika kwake pale alipomtimua kazi Nape Nnauye!Wanabodi
Ili kuonyesha kuwa serikali haihusiki na uhuni,upuuzi na ushenzi huu, rais Magufuli lazima akasirike kama Nyerere alivyo kasirika idara ya TISS inapochafuliwa, aliifumua mwanzo mwisho bila huruma.
Paskali
Sasa nimeelewa kwanini uliuliza jambo lililokwisha kuelezwa katika uzi!Kichwa cha uzi ndio nimejibia, kuna shida yoyote!?
Fahamu kuwa utangulizi uvutia mtu kusoma au kusepa, kwa hii nilisepa labda nikipata muda nitasoma.
mkuu nisamehe bure ; haya mambo sijui tiss mara rso; hata siyajui nimemquote tu mleta mada aliyesema former rso wa mwanza alikuwa mzee wake. hata rso sijui ni nini!Kwani huyu mayala babake ndo yule alikuwa RSO wa Kilimanjaro na mayala akawa anasoma Mawenzi Secondary au?
😱😱😱Na huku wapo?Paschal wewe ni TISS tunakujuwa. Wakati mwingine unatumwa humu ndani kuja kmutuchokoza ili kupata our reaction or data ili mkazifanyie Kazi Kijitonyama.Mwisho wa Sikh mna mnakamata na kuteka watu na kuwatesa kisha kuwatupa mabwepande au Ruvu kama sio kubambikwa kesi za uchochezi. Mimi sikuamini kabisa na huwa nakuogopa. Sitaki kujadli chochotge kwenye Uzi huu
Mkuu,naona Avatar yako ina picha inaonyesha huna meno,hawa jamaa walishakutunzia baadhi ya meno?mkuu nisamehe bure ; haya mambo sijui tiss mara rso; hata siyajui nimemquote tu mleta mada aliyesema former rso wa mwanza alikuwa mzee wake. hata rso sijui ni nini!
Na ni kweli hayo matendo yanafanywa na TISS au yanafanywa na wengine halafu TISS wanaishia kusingiziwa tu?
We watu timamu wakijadili masuala muhimKwa hiyo miaka yote tangu ianzishwe, ndio leo mnatuambia kazi yao ndio hiyo!? Mbona malalamiko juu yake ni siku hizi na sio tangu!?
Inaonyesha umri wako hauzidi miaka 19 lkn umejikomaza kwa matumizi mabaya ya mwili wako.
NGOJEA siku ya kupate NDIO utajua,,,,kweli ni muhimu torture katika kumuhoji mtuhumiwa kwa baadhi ya mambo nyeti, ,,,LAKINI ni kinyume cha haki za bunadamuungetuambia kwanza kama torture ni kinyume cha sharia ipi maana utesaji ni moja ya mbinu za kipelelezi
Nenda pale Mabatini Kijitonyama kwenye groccery zilizoko mkono wa kushoto kama unaelekea Mwenge utaona ujinga wao wanavyojitapa iq zao ni ndogo sana WANATUMIA misuli zaidi ya akili