TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

TISS Ikanushe tuhuma za uvamizi, utekaji, utesaji na mauaji!. Wasijadiliwe na Bunge kwa uwazi bali wachunguzwe, wakithibitika wafumuliwe!

Mkuu ulichowaza na kukisema na mimi nimewaza hivyo hivyo ila nimeshindwa kusema.

Naunga dots; mkuu pascal babake alikuwa RSO(watu waliingizwa sana kwenda huko kwa undugunization)- (fact ya kwanza), Mkuu pascal ni mwandishi wa habari (wanaofanya kazi hii wengi ni watu wa huko)-(Fact ya pili),mkuu pascal alishavaaga gwanda za bakabaka akaondoka(hawa ni interdisciplinary-wajeda huwa wanavulishwa gwanda na kuingizwa huko ref🙁interdisciplinary))-(fact ya tatu)
Naunga mkono hoja.
 
Wanabodi

Ili kuonyesha kuwa serikali haihusiki na uhuni,upuuzi na ushenzi huu, rais Magufuli lazima akasirike kama Nyerere alivyo kasirika idara ya TISS inapochafuliwa, aliifumua mwanzo mwisho bila huruma.


Paskali
Mi nadhani Rais ameshaonesha wazi kasirika kwake pale alipomtimua kazi Nape Nnauye!
 
Paskali Mayala pole kwa yote ni Mapito ya maisha tu ya mwanadamu.

Kila mtanzania afanye kazi yake halali nchi itakuwa na amani na usalama kabisa.

TISS wako makini sana na kazi zao na wanafanyaka nzuri sana ya usalama wa taifa hili na malalamiko yanayotolewa kuhusu Idara hii so ya msingi Hata kidogo.

Idara ya TISS ina taratibu za kufanya kazi sake kwa mujibu wa sheria ya kuanzishwa kwake mwaka 1996 wakati wa utawala wa Mkapa.

Idara ina watu makini sana na wala sio kuwa sasa ndiyo kila tukio baya wao ndio wakutupiwa lawama ila usije ukajaribu kuingia katika anga zao kwa kuchezea usalama wa nchi hii utajuta kuzaliwa na maji utayaita mmma!!

Lazima tuheshimu vyombo vya ulinzi na usalama JWTZ,POLISI,TISS na MAGEREZA na kumbuka ulinzi unanza na wewe!!

Kila mmoja na afanye kazi halali na watu wote wafuate sheria,kanuni na taratibu kwa mujibu wa Katiba ya mwaka 1977 kinyume na hapo zahama itakayo kupata asijekulaumiwa MTU.
 
Paschal wewe ni TISS tunakujuwa. Wakati mwingine unatumwa humu ndani kuja kmutuchokoza ili kupata our reaction or data ili mkazifanyie Kazi Kijitonyama.Mwisho wa Sikh mna mnakamata na kuteka watu na kuwatesa kisha kuwatupa mabwepande au Ruvu kama sio kubambikwa kesi za uchochezi. Mimi sikuamini kabisa na huwa nakuogopa. Sitaki kujadli chochotge kwenye Uzi huu
😱😱😱Na huku wapo?
 
mkuu nisamehe bure ; haya mambo sijui tiss mara rso; hata siyajui nimemquote tu mleta mada aliyesema former rso wa mwanza alikuwa mzee wake. hata rso sijui ni nini!
Mkuu,naona Avatar yako ina picha inaonyesha huna meno,hawa jamaa walishakutunzia baadhi ya meno?
 
Humu mnaongeaa.....kama mngejua nani anawaamrisha msingepoteza muda wenu humu kujadili hii issue.... hao watu hawafanyi kazi bila maelekezo!
 
ungetuambia kwanza kama torture ni kinyume cha sharia ipi maana utesaji ni moja ya mbinu za kipelelezi
NGOJEA siku ya kupate NDIO utajua,,,,kweli ni muhimu torture katika kumuhoji mtuhumiwa kwa baadhi ya mambo nyeti, ,,,LAKINI ni kinyume cha haki za bunadamu
 
Nenda pale Mabatini Kijitonyama kwenye groccery zilizoko mkono wa kushoto kama unaelekea Mwenge utaona ujinga wao wanavyojitapa iq zao ni ndogo sana WANATUMIA misuli zaidi ya akili

Niko Ruvuma kwa sikukuu, nikiwa narudi mkoani kwetu labda nitapita ndani ya mji wenu huo. Ila sidhani kama nitakuwa bored kihivyo kujipeleka kuwaangalia binadamu wenzangu ambao hawaniingizii kipato kwa njia yoyote.
 
Back
Top Bottom