TISS, PSU Jifunzeni kwa walioendelea

Na wewe ni MTU WA MFUMO (TEEH) [emoji1787]
 
Hatujadharau
Nimeuliza kwanini leo na jana hatujaona yale mabunduki ya p
PSU kwenye kumsindikiza Kamala?
Leo Airport wale mabaunsa na bunduki zao hawajaonekana kabisa.

Jana Ikulu hawakuonekana kabisa

Sasa iweje siku zingine wamkere Rais na kumnyima uhuru hata ashindwd pumua?

Sasa tuko zama mpya tuache kurudi nyuma kwa show off
 
Wote ni mashahidi wale mabaka mabaka, wale wadada wanaokaa pande mbili za Rais hawakuwepo jana nyuma ya Rais

Tujaribu kujifunza wao wanawezaje kumlinda Rais wao bila kukera watu, sasa TV inakuwa unaangalia hata watu wasiohusika wakati anayetakiwa onekana ni Rais pekee.
 
Mbongo kazi yake kujidharau tu..
 
Ikulu hao wajeda wenye mitutu sijawahi kuwaona wakiongozana na Rais.
 
ningeshangaa popoma usichangie mada hii. mkeka wangu umekubali.
 
We unamchango gani kwa taifa hili zaidi ya kulalamika?.
 
Hapo umenena kweli.
Majukumu yao ndo hayo.

Kuna mgomo uliwaahi tokea pale UDOM na wa7bishaji ni Management,ajabu hilo halikugundulika.
Tokea hapo nikaelewa kuwa majukumu ya hao jamaa ni hayo uliyo taja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…