BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Na wewe ni MTU WA MFUMO (TEEH) [emoji1787]Heshimu Taasisi na Utaratibu wa Taasisi sawa? Siyo lazima kila lifanywalo na CIA / NSA (Marekani ) basi na TISS ( Tanzania ) nao walifanye au waliige.
Binafsi ( GENTAMYCINE ) nimebahatika Kukaa ( kuwa karibu ) na Walinzi wa baadhi ya Marais wa Ukanda wetu huu ( Kale Kayihura aliyekuwa CIG: wa Uganda ila kabla alikuwa Mlmoja wa Walinzi PPU wa Rais Museveni na Marehemu Noble Mayombo aliyekuwa CMI wa Uganda na aliyewahi pia kuwa ADC wa Rais Museveni ) achilia mbali wa Rais Kagame na wa Hayati Mzee Kabila ( Laureant Kabila ) na Sifa pekee niliyoisikia kutoka Kwao kuhusu TISS na hasa hasa PSU ni kwamba wako vizuri na Wameiva mno Kimedani.
PSU ndiyo blueprint ya Vikosi vingi vya Ulinzi wa Marais katika nchi nyingi za Ukanda huu ikiwemo na Msumbiji na nyinginezo.
Acheni Kudharau vya Kwenu TZ Oky?