Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Aug 6, 2026 #1 Kashaona anataka wafuwasi.Alicho fanya umri wake na mafundisho na mambo yake anahisi kufanya hivi kutampa kufika 2030. Kuna mambo yatageuka kesho mje kusema tuliona wakati mlikuwepo. Hivi kwa nini afrika nchi nyingi mnasubiri mpaka moto ushamaliza kila kitu ndio mnaona kunaitaji kuzima moto.
Kashaona anataka wafuwasi.Alicho fanya umri wake na mafundisho na mambo yake anahisi kufanya hivi kutampa kufika 2030. Kuna mambo yatageuka kesho mje kusema tuliona wakati mlikuwepo. Hivi kwa nini afrika nchi nyingi mnasubiri mpaka moto ushamaliza kila kitu ndio mnaona kunaitaji kuzima moto.
Marcostilone JF-Expert Member Joined Jun 25, 2023 Posts 7,018 Reaction score 17,932 Aug 6, 2026 #2 Wamemshikilia lakini hawamuwezi.
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,324 Reaction score 202,767 Aug 6, 2026 #3 Sio rahisi kihivyo.
Fbn JF-Expert Member Joined Jul 31, 2016 Posts 15,749 Reaction score 37,420 Aug 6, 2026 Thread starter #4 cocastic said: Sio rahisi kihivyo. Click to expand... Mimi naona mbali wewe .Mpaka leo unaishi makongo na ujaolewa mpaka leo na umri wako mpaka sasa 30 + na unafanya kazi ukiwa na stress
cocastic said: Sio rahisi kihivyo. Click to expand... Mimi naona mbali wewe .Mpaka leo unaishi makongo na ujaolewa mpaka leo na umri wako mpaka sasa 30 + na unafanya kazi ukiwa na stress
MENEMENE TEKERI NA PERESI JF-Expert Member Joined Mar 11, 2022 Posts 9,376 Reaction score 25,663 Aug 6, 2026 #5 Kaka Fbn haya bwana ,nane nane njema mkuu huko kwetu
ManchoG JF-Expert Member Joined Jul 31, 2017 Posts 3,828 Reaction score 5,728 Aug 6, 2026 #6 Mtu mpumbavu pekee ndio mwenye kuchukia wengine na maisha yao.! Ona hili..!? Mwengine kawaza anavyojisikia kwanini Kiwe kipaumbele chako.! Yawezekana alitengenezwa kuzima sauti za mfanano.. Na mnakiri na kuona huruma.! Very ubsurd. π
Mtu mpumbavu pekee ndio mwenye kuchukia wengine na maisha yao.! Ona hili..!? Mwengine kawaza anavyojisikia kwanini Kiwe kipaumbele chako.! Yawezekana alitengenezwa kuzima sauti za mfanano.. Na mnakiri na kuona huruma.! Very ubsurd. π
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 123,324 Reaction score 202,767 Aug 7, 2026 #7 Fbn said: Mimi naona mbali wewe .Mpaka leo unaishi makongo na ujaolewa mpaka leo na umri wako mpaka sasa 30 + na unafanya kazi ukiwa na stress Click to expand... Pole πππ
Fbn said: Mimi naona mbali wewe .Mpaka leo unaishi makongo na ujaolewa mpaka leo na umri wako mpaka sasa 30 + na unafanya kazi ukiwa na stress Click to expand... Pole πππ