Tetesi: Tito Magoti kutengenezewa kesi ya Utakatishaji pesa au Uhujumu uchumi

Yaani serikali inayojiita imara inahaha na kuyumbishwa na mtu anayejiita kigogo?
Jee ingekuwa kama ni Osama?
Sidhani kama kigogo ni mtu muhimu kutafutwa kiasi hicho na itakuwa ni aibu kama kweli tuna serikali ambayo haiwezi hata kudukua twitter
 
Halafu jamaa ana jinadi hadharani kwamba hataki kiongoza nchi ambayo watu wanatoa machozi. Na magereza kujaa mahabusu kukiko wafungwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Madikiteita wote wako hivyo! Soma feature inayohusiana na madikiteita uliyoisema ie nationalism
8. Aggressive Nationalism:

The ideology of nationalism is used as a means for securing credibility for the interests of the ruler. In the name of the unity and

development of the people, the ruler exercises his power for his self interest.
 
Itapendeza sana,dawa ya jeuri ni kiburi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piga kelele mwenyewe.
 
Wabunge wa ccm !
 
Jela.kuzuri.eeh!? Sawa sawa. Wewe umeandika comment yako kutokea jela eeh!. Au sio!? Safi sana.

Sasa Je? Hujaona watu wanaambiwe warudi mtaani wanakataa na kung'ang'ania huko? Lazima kutakuwa kuzuri tu.
 
Sasa Je? Hujaona watu wanaambiwe warudi mtaani wanakataa na kung'ang'ania huko? Lazima kutakuwa kuzuri tu.
Ni kweli. Kuna wengine wamepewa msamaha nawamefanya makosa ili warudishwe tena huko. Kweli jela kuzuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…