Tetesi: Tito Magoti kutengenezewa kesi ya Utakatishaji pesa au Uhujumu uchumi

Masuala ya utekaji na mauaji kisha kuwekwa kwenye viroba na hili la uhujumu uchumi na utakatishaji fedha hautokoma hadi pale SHETANI MKUU atakapopigwa chini. Na watakaoweza kumpiga chini ni sisi raia wapenda haki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana! Sasa ni kazi yake kuithibitishia mahakama kuwa hana hatia ama la!
 
Tukome kukubali kuongozwa na tyrants
 
Lazima ifike pahala tukubali kuwa kumtukana aliye madarakani hata kama humpendi ni kama kuweka roho yako rehani. Kwanini utukane acha wapate kiboko chao! Povu ruksa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…