Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

So what?

Every thing haki imetoweka are you sure kwamba haki imepotea nchini???



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi tabia za kishenzi za kusoteshana magerezani kwa kesi uchwara zipo kule nchi jirani. Sio tabia za waTanzania. Huyu anayeabudiwa.na baadhi ya watu ana matatizo makubwa.
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
12 (d) jipatia, miliki, tumia au simamia mali, ikiwa anafahamu, au anapaswa
kufahamu au alipaswa kufahamu wa kupokea mali hiyo kuwa mali hiyo
imetokana na makosa ya uhalifu amabyo ni msingi wa utakatishaji wa
fedha haramu; au
 
Halafu Mh rais ana jifanya kulalamika mahabusu ni wengi kuliko wafungwa wakati vyombo vyake ndivyo vinajaza magereza kwa makosa ya kubambikiwa. Huyu Mungu tumuabudue kuna siku ataona machozi ya watu wake. Na kuangushia mikate ya mana kama akivyo walisha wale watu kule jangwani. No sooner
Jaman kwann uhujumu uchumi imekua kichaka cha kuonea watu huku kila siku tupo kanisan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…