Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

Tito Magoti na Theodory Giyan wafikishwa Mahakamani, wafunguliwa mashtaka 3 yakiwemo ya Uhujumu Uchumi na Utakatishaji Fedha

Makosa yale yale Kama ya Kabendera ya uhujumu uchumi/utakatishaji fedha.

Makosa haya hayana dhamana, na ni dhahiri shahiri yamelenga kuwakomoa hawa vijana....maana historia inaonesha huwa upelelezi wake haukamiliki.

Haki kwa Sasa imetoweka kabisa kwenye Taifa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
So what?

Every thing haki imetoweka are you sure kwamba haki imepotea nchini???



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makosa yale yale Kama ya Kabendera ya uhujumu uchumi/utakatishaji fedha.

Makosa haya hayana dhamana, na ni dhahiri shahiri yamelenga kuwakomoa hawa vijana....maana historia inaonesha huwa upelelezi wake haukamiliki.

Haki kwa Sasa imetoweka kabisa kwenye Taifa hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hizi tabia za kishenzi za kusoteshana magerezani kwa kesi uchwara zipo kule nchi jirani. Sio tabia za waTanzania. Huyu anayeabudiwa.na baadhi ya watu ana matatizo makubwa.
 
Umenikumbusha nyimbo moja ya Dube- Victim, alimnukuu Bob kuna hicho kipande cha "How long shall they kill our prophecy, while stand a side and see"
Anyway hizi mada zimenizidi nguvu siku hizi, naishia tu kuwa mpenzi msomaji.
Isije kuwa
#BringbackNjopino
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu

Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma gani

Tito Magoti pamoja na wenzake walitoweka siku 4 zilizopita kabla ya Polisi kujitokeza na kueleza kuwa waliwakamata na kuwashikilia.

====
UPDATE:

View attachment 1302260

View attachment 1302258View attachment 1302259
12 (d) jipatia, miliki, tumia au simamia mali, ikiwa anafahamu, au anapaswa
kufahamu au alipaswa kufahamu wa kupokea mali hiyo kuwa mali hiyo
imetokana na makosa ya uhalifu amabyo ni msingi wa utakatishaji wa
fedha haramu; au
 
Halafu Mh rais ana jifanya kulalamika mahabusu ni wengi kuliko wafungwa wakati vyombo vyake ndivyo vinajaza magereza kwa makosa ya kubambikiwa. Huyu Mungu tumuabudue kuna siku ataona machozi ya watu wake. Na kuangushia mikate ya mana kama akivyo walisha wale watu kule jangwani. No sooner
Jaman kwann uhujumu uchumi imekua kichaka cha kuonea watu huku kila siku tupo kanisan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom