DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Mahmgufi na genge lake wamezid kubambikia watu kesi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So what?Makosa yale yale Kama ya Kabendera ya uhujumu uchumi/utakatishaji fedha.
Makosa haya hayana dhamana, na ni dhahiri shahiri yamelenga kuwakomoa hawa vijana....maana historia inaonesha huwa upelelezi wake haukamiliki.
Haki kwa Sasa imetoweka kabisa kwenye Taifa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu utachanganyikiwa bure.....Sijaelewa hizo chaji yaani feb 2019 mpaka dec 2019 alitengeneza program ya computer yenye thamani ya 17m?
Hizi tabia za kishenzi za kusoteshana magerezani kwa kesi uchwara zipo kule nchi jirani. Sio tabia za waTanzania. Huyu anayeabudiwa.na baadhi ya watu ana matatizo makubwa.Makosa yale yale Kama ya Kabendera ya uhujumu uchumi/utakatishaji fedha.
Makosa haya hayana dhamana, na ni dhahiri shahiri yamelenga kuwakomoa hawa vijana....maana historia inaonesha huwa upelelezi wake haukamiliki.
Haki kwa Sasa imetoweka kabisa kwenye Taifa hili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Njaa mbaya mzee mwenzanguPaskali ni mnafiki aisee
I hate this person now days ani.. Kichefu chefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ule uzi wa juz waliweka pic yake amevaa tsht white🤧🤧🤧 🙌🙌🙌 ht akikukanyaga kkoo unakosa ngv ya kumsema😅mmmh!
hahahahhah
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Umenikumbusha nyimbo moja ya Dube- Victim, alimnukuu Bob kuna hicho kipande cha "How long shall they kill our prophecy, while stand a side and see"
Anyway hizi mada zimenizidi nguvu siku hizi, naishia tu kuwa mpenzi msomaji.
Isije kuwa
#BringbackNjopino
Duh...!,Maoni yako tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
12 (d) jipatia, miliki, tumia au simamia mali, ikiwa anafahamu, au anapaswa
Afisa wa LHRC, Tito Magoti pamoja na mwenzake (kama wanavyoonekana pichani) wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mchana huu
Hata hivyo bado haijafahamika wamefikishwa Mahakamani hapo kwa tuhuma gani
Tito Magoti pamoja na wenzake walitoweka siku 4 zilizopita kabla ya Polisi kujitokeza na kueleza kuwa waliwakamata na kuwashikilia.
====
UPDATE:
View attachment 1302260
View attachment 1302258View attachment 1302259
Jaman kwann uhujumu uchumi imekua kichaka cha kuonea watu huku kila siku tupo kanisan
Sio fresh kabisa....
wanaowaandalia wenzao mashtaka ya namna hii nafsi zao zitawasuta.....
washtakini watu kwa haki.....
usimuonee mtu....
wala usimuogope mtu...
Hizi tabia za kishenzi za kusoteshana magerezani kwa kesi uchwara zipo kule nchi jirani. Sio tabia za waTanzania. Huyu anayeabudiwa.na baadhi ya watu ana matatizo makubwa.
hataki kutia neno! alikuwa msemaji mzuri, leo anasema duh! Pascal MayallaPaskali ni mnafiki aisee
I hate this person now days ani.. Kichefu chefu
Sent using Jamii Forums mobile app
Daaaah Ngoja Nielekee THE GREAT Tabata Nikale Beer tu.Mkuu utachanganyikiwa bure.....
kunywa beer zako choma mbuzi ule..
maisha yaendelee