City Thunder OKC
JF-Expert Member
- May 4, 2025
- 6,655
- 13,097
Kama kitimoto asiye na akili umeshindwa kuwamaliza kwa nini ushangae watu kushindwa na binadamu wenye utashu?Nakuambia hivi,wewe lia ,saga meno kale kitimoto na bia njoo road ufanye fujo uone utafanywa nini...
Ni shaba tuh
Kwa nini hilo kanisa bado lipo? Maana yake umeshindwa?
Hatuna adui wala rafiki. Utakavyokuja ndivyo utakavyopokelewaAdui yenu halisi ni yupi? Wewe unasema ni wasukuma, uvccm wanasema ni chadema kina heche na lissu, bigshow na timu yake wanasema ni TEC, raisi wenu anasema ni mabeberu
Kaeni chini mkubaliane adui yenu ni yupi
Hata uwe mjinga huwezi kuandika hivi.Kanisa limekufa tayari
Kwani wewe unaona nani analipa heshima kanisa katoliki hivi sasa
Kanisa limekuwa kama zecomedy tuh
Nidhamu lazima itawale kwenye nchi yoyote. Huko Minneapolis wanaharakati wanalia baada ya ICE kutembeza vyuma kwa watu wanaowakosea heshima.Nimekutolea mfano wa shetani kuendelea kuwepo maana yake dini zimeshindwa kumuangusha?
Kitimoto mimi kinanihusu nini.Kama kitimoto asiye na akili umeshindwa kuwamaliza kwa nini ushangae watu kushindwa na binadamu wenye utashu?
Transfer of power is inevitable ndio maana wanamfanyia figisu Nchimbi wameshajua nini kinaenda kutokea.Tumeshauri humu Serikali ijiandae kwa transfer of power maana mwak huu tumeshasema hatupumziki hadi Samia na washirika wake wanatiwa korokoroni.
Kama hamjui adui yenu wala rafiki hizo akili mnatumia kwenye nini?Hatuna adui wala rafiki. Utakavyokuja ndivyo utakavyopokelewa
Vipi unataka kuingia tena barabarani ukaibe mali za watu?
Wao walitaka waachwe wanaichoma nchi eti kwa kuwa kanisa litawateteaNidhamu lazima itawale kwenye nchi yoyote. Huko Minneapolis wanaharakati wanalia baada ya ICE kutembeza vyuma kwa watu wanaowakosea heshima.
Dola lazima ilindwe kwa namna yoyote ile, uhuru unayo mipaka na asiyekumbushwa kistaarabu juu ya haki za wengine akidhani za kwake ndio kila kitu atakumbushwa kwa lazima.
Hizo hisia zako potofu, Nchimbi na SSH kitu kimoja. Huwezi kumpeleka Rais ICC wakati keshaunda tume.Transfer of power is inevitable ndio maana wanamfanyia figisu Nchimbi wameshajua nini kinaenda kutokea.
Kwa watu kula kitimoto sio kosa? Mbona mnasemaga Mungu kakataza?Kitimoto mimi kinanihusu nini.
Kitimoto si chakula chako wewe kafiri...
Wewe kula kiti moto na bia ushibe ila ukiingia road kujafanya fujo ni shaba tuh...hatucheki na kima
Good mnakiri wenyewe Samia aliua kwanini sass hamtaki akajibu mashitaka yake ICC.Wale jamaa walipeleka moto kweli kweli hawakucheka na kima hata kidogo!.
Zile ndoto za Gen Z kuiteka ikulu huku wakijirusha kwenye vitanda ziliishia maeneo ya Mwenge na Kinondoni. Hawatakaa waisahau ile siku.
Hamna akili wala maarifa yoyote ya kulinda chochoteNidhamu lazima itawale kwenye nchi yoyote. Huko Minneapolis wanaharakati wanalia baada ya ICE kutembeza vyuma kwa watu wanaowakosea heshima.
Dola lazima ilindwe kwa namna yoyote ile, uhuru unayo mipaka na asiyekumbushwa kistaarabu juu ya haki za wengine akidhani za kwake ndio kila kitu atakumbushwa kwa lazima.
Hizo hisia zako potofu, Nchimbi na SSH kitu kimoja. Huwezi kumpeleka Rais ICC wakati keshaunda tume.
Tatizo humu ushabiki unakuwa mwingi mpaka ujinga unaonekana wa maana.
Rais anapounda tume maana yake hao ICC inabidi waunde tume ije ifanye kazi na ile iliyoundwa na mkuu wa nchi.
Mtuhumiwa aunde tume does it make sense.Hizo hisia zako potofu, Nchimbi na SSH kitu kimoja. Huwezi kumpeleka Rais ICC wakati keshaunda tume.
Tatizo humu ushabiki unakuwa mwingi mpaka ujinga unaonekana wa maana.
Rais anapounda tume maana yake hao ICC inabidi waunde tume ije ifanye kazi na ile iliyoundwa na mkuu wa nchi.
Jamaa walivaa fulana nyeusi na jeans mpya za kamatia chini, ulikuwa ukiona landcruiser tinted halafu upo mahali mbali na nyumba inabidi usali sala yako ya mwisho.Hamna akili wala maarifa yoyote ya kulinda chochote
Hamna akili wala maarifa yoyote ya kulinda chochote
Mtuhumiwa kwa akili zako wewe lakini kwa zile za ICC bado ni amiri jeshi mkuu.Mtuhumiwa aunde tume does it make sense.
Hatari sanaJamaa walivaa fulana nyeusi na jeans mpya za kamatia chini, ulikuwa ukiona landcruiser tinted halafu upo mahali mbali na nyumba inabidi usali sala yako ya mwisho.
Nimekueleza kuwa hata shetani yupo lakini haimaanishi uislam au ukristo umemshindwaWell,waulize kilichowakuta wale ambao walichoma mali na na chi kama nchi ililindwa au wao walifanikiwa.