Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

ICC sio soko la samaki feri kwamba mtu anajiendea tu, heshimuni sheria za nchi, heshimuni dola.

Msipoiheshimu dola kwa hiari yenu mtalazimishwa kufanya hivyo.
Then dola haitakiwi kuheshimu wananchi? Unaongea kama kuku alikatwa kichwa.
 
Ni two ways mkuu, huwezi kuchoma moto mali za watu na za serikali bila ya kuchezea chuma.

Mlipoanza kuandamana kule Ubungo mliachiwa wale mapolisi walidhani ni maandamano ya kawaida, pale mlipoanza kuchoma moto vituo vya mwendo kasi na vituo vya kuuza mafuta vya watu binafsi, mamlaka zikajua kumbe hawa wapumbavu hawatakiwi kuchekewa.

Mnaenda kujiliza kwa wazungu wakati upuuzi mliuanza wenyewe huko mitaani.
 
ICC sio soko la samaki feri kwamba mtu anajiendea tu, heshimuni sheria za nchi, heshimuni dola.

Msipoiheshimu dola kwa hiari yenu mtalazimishwa kufanya hivyo.
Safari una kazi pevu ya kumtetea huyu wa kizimkazi na bado !
 
Wajinga sana hawa madogo, walimchukulia poa sana Rais kisa anavaa hijabu kisa mwanamama wa kizenji.

Cha moto wamekiona.
Hata useme kwa dhiaka kiasi gani serikali yeyote inayoendeshwa kama kikundi cha wavuta bangi haiwezi kuvimilika na mwisho wa siku inaweza kumdhuru mtu yeyote regardless unaisaupport au unaipinga.
 
Hii serikali ipo mpaka 2030 Mungu akipenda, mtaishia kuweka habari za ICC kupeana moyo nyinyi wanaharakati.

Uhuni na uvuta bangi ulifanyika siku ile ya October 29, ukadhibitiwa vilivyo na mapolisi.
 
Ni two ways mkuu, huwezi kuchoma moto mali za watu na za serikali bila ya kuchezea chuma.

Mlipoanza kuandamana kule Ubungo mliachiwa wale mapolisi walidhani ni maandamano ya kawaida, pale mlipoanza kuchoma moto vituo vya mwendo kasi na vituo vya kuuza mafuta vya watu binafsi, mamlaka zikajua kumbe hawa wapumbavu hawatakiwi kuchekewa.

Mnaenda kujiliza kwa wazungu wakati upuuzi mliuanza wenyewe huko mitaani.
Uliona wapi wanachoma vituo vya makuta wanauwawa? Hii ni utahira au ushamba wa dola? Hizo mahakama zina kazi gani hasa?
 
THE BIG SHOW tumetoka kubishana muda si mrefu, kumbe serikali yako imesafiri hadi Vatican leo kwenda kumuomba papa aiombee Tanzania
Nilikuambia kuwa hamna akili na maarifa
20260128_200439.jpg
 
Hamjasema bado kenge nyinyi

Tunajua mnataka kupasuka na hatutawaacha safari hii

Hakuna tusi jipya..tukana yote hadi umalize lakini dawa yenu mkileta fujo unajua vile tunafanya...ni shaba tuh
Kwamba hizo silaha mnazo ninyi tu? Ipo siku zitatufikia na tutazitumia kikamilifu ndio mtajuta hakika!
 
Uliona wapi wanachoma vituo vya makuta wanauwawa? Hii ni utahira au ushamba wa dola? Hizo mahakama zina kazi gani hasa?
Mlitaka kuichoma nchi, mlitaka kufanana na Madagascar na Sri lanka ambapo waandamanaji walipindua nchi kifala tu.

Ule ujinga msije kuurudia tena hapa Tanzania.
 
Hii serikali ipo mpaka 2030 Mungu akipenda, mtaishia kuweka habari za ICC kupeana moyo nyinyi wanaharakati.

Uhuni na uvuta bangi ulifanyika siku ile ya October 29, ukadhibitiwa vilivyo na mapolisi.
Hata Madura amenyakuliwa na Amerika lakini Serikali bado ipo, wewe hauna chochote ndani ya hiyo serikali unayosena ila wenyewe wanatambua kuwa maji yamewafikia shingoni.

Wewe jipo promo ila tambua kuwa wananchi wataendelea kuipinga serikali wakati wowote kama wanaleta tabia zinazotweza hutu wa binadamu.
 
Tume ya chande siyo tume ya kitaifa jombaa! Angalia wajumbe wake ni watu wa mtuhumiwa na wengine ni wahusika wa mauaji. Usijilishe upepo usiokuwepo. Maoni ya utafiti wao hautakidhi viwango vya kimataifa unaotakiwa hivyo acha kuidanganya.
Huu uzi wa leo ndio uzi wa mara ya kwanza kutembea sana kwa Mwaka huu 2026
 
Kwamba hizo silaha mnazo ninyi tu? Ipo siku zitatufikia na tutazitumia kikamilifu ndio mtajuta hakika!

Zikufikie silaha wewe kichaa unadhani serikali haina upeo??

Hizo akili za ki.fala huwa mnapewa pewa vipi huko makanisani??
 
Back
Top Bottom