Kwani Hamza Johari anajuwa kila aina ya sheria? Yeye alitaka liwasilishwe vipi; kwani hiyo ndiyo itabadili uovu mlioufanya?Namna hili swala lilivyowekwa na mleta mada inaonyesha hajui masuala nyeti ya kisheria.
Ndio uzushi wenyewe ambao ni msingi wa mada za uzi huu.
Mmempoteza sana huyu mwanamke asiyekuwa na akili kabisa kichwani