Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

Nasikitika kukutaarifu kuwa huna uelewa wa kutosha kujenga hoja fikirishi na au una shule kiduchu ya kujua kuchezea key board tu! Nakuweka kabatini iendelee kulumbana na wa aina yako. Kwaheri ya kutokukuona tena hapa!
Ameswichiwa kusema warudie tena hana zaidi ya hayo hadi mwenye funguo aje am format upya.
 
SSH huwezi kumuweka kwenye kundi hilo, alilazimika kuitetea dola kutetea kiapo chake.

Mbona tarehe 9 na 25 Desemba hakupigwa mtu hata mmoja risasi?. Mlipokelewa mlivyokuja hivyo msianze kujiliza kwa hao wazungu mnaishia kuonekana wajinga tu.
Ataenda kujitetea mwenyewe kuwa alilazimika kuua wewe wala humsaidii kitu zaidi ya kumharibia.
 
Habari njema kwa Watanzania kutoka ICC.

Tunafahamu Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake, na kwaajili ya yeye, akipenda, kujibu.

Ni muhimu mhalifu huyu wa kimataifa akachukuliwa hatua stahiki kwa maslahi ya haki.

Tunafuatilia.
Mungu wabariki Wazungu
 
Kazi yao siku ile haikuhitaji akili za mwanasayansi, walitakiwa warudishe utulivu mtaani mapema iwezekanavyo.

Utulivu uliporudi Rais akaweza kuapishwa kule Dodoma.
Tunarudi pale pale, Mbogamboga kwenye fair grounds ni mapema tu wanakabidhi dola kwa wapinzani.
Thats why waliplay foul wakashoot innocent lives.
 
Muandiko wako unaonyesha wewe ni Maria, unapoteza muda kuamini kwenye huo uzushi kwamba ICC inamfahamisha Samia rasmi.

Kisheria ikishaundwa tume na rais inabidi hao wazungu walete tume yao hapa bongo, hiyo tume ya Chande inakuwa ni kinga ya Rais kwa mujibu wa sheria za kimataifa.

Hili swala msichokijua limo mikononi mwa magwiji wa sheria za kimataifa msidhani serikali inajiendea tu.
Kwahiyo mnadanganyana kuwa tume ya rais ndiyo kinga yake, wapuuzi sana nyie.
 
Yale yalikuwa maamuzi ya busara sana, ni machungu lakini ndiyo yaliyotufikisha kwenye huu utulivu tulionao.

Una jeshi, polisi, bunduki, risasi halafu uanze majaribio ya rubber bullets?? Kwani ile vurugu unadhani ilikuwa inazimwa na maji ya washawasha?? Ile siyo mechi ya Simba na Yanga!!
Avumilie matokeo yake.
 
Yaani ICC waje wamshtaki Rais na wasidizi wake (JWTZ & TANPOL), waliozima machafuko ya uharibifu wa mali, wizi, uchomaji moto mali kwa ufanisi wa hali ya juu ndani ya masaa 12???
Hakuna ICC ya hivyo. On the contrary tuvisifu vyombo vyetu kwa kutuheshimisha maana wale MAHAYAWANI walikuwa wanatupeleka pabaya kwa kisingizio cha maandamano ya kudai haki
Itabidi avumilie matokeo ya kuwaua mahayawani.
 
Nakwambiaje hata apiganiwe na Trump, huyu kibibi muuaji hawezi kukwepa mkono wa ICC.

ICC imetoa arrest Warrant kwa Putin, Majenerali wake Urusi na Netanyau pamoja na vikwazo vya Marekani na kiburi cha Urusi ndo ishindwe kwa Samia na vidampa wake kina Mombo, Mkunda, Awadhi Haji na Wambura?

Mtafurahishwa mwaka huu ccm.
Kuna muda nawaza hivi wale walinzi wake hawapati akili ya kumpasua ya kichwa?

Nafkiri ndie Rais aliyetokea kuchukiwa zaidi kuliko wote hapa Tanzania.
 
Kosa lingine kubwa analofanya Samia baada ya haya mauaji ya kutisha ni Kila anapowashiwa maiki...anapofungua mdomo tu lazima aliongelee hili katika lugha ya kuudhi na kuleta chuki. Haleti utengemano ila anaharibu sana

Anaongea lugha mbovu sana juu ya hili swala. Sijui hawamshauri huko ndani au ni nini anawazaga anaposimanga watanganyika katika hili.
Nafkiri ana kiburi sababu anajua hukumu ikitoka anaweza kwenda kwao uarabuni.
 
Huwa namshangaa sana huyu mama! Hivi hana hata ile akili ndogo ya kujua aongee nini na aache nini kutokana na mazingira yaliyopo?
Wewe unajua kabisa umeshtakiwa, una kesi ambayo uchunguzi unaendelea, halafu kila ukipewa nafasi ya kuongea unatoa kauli za kithibirisha kuwa wewe ndiye uliwatuma wauaji!!
 
Wewe umeona serikali ina deal.na wale vichaa wa tec

Serikali inaongea na mwenye mmbwa na anatii

Sasa hao mmbwa hata wakiendelea kubweka ni juu yao
Hujiulizi kwanini hawakwenda kwa Ayatollah Ali Khamenei wa Iran wakakimbilia Vatican.

Halafu hujui Kanisa katoliki linavyofanya kazi, papa anategemea ripoti kutoka kwa paroko na askofu ambao ni wajumbe wa TEC,

na unafikiri Papa ni mjinga kama mufuti wa bakwata hajui kuwa Kitima alivamiwa na watu waliotumwa na serikali hadi leo hakuna kesi wala kukamatwa wahusika. Jinga sana.
 
Back
Top Bottom