Hauna ubavu wa kumzuia Mzungu wewe..Upo hapa JF na kula unachofanya 80% kinategemea mkono wa mzunguTanzania ni Sovereignty country hatutavumilia kuingiliwa na wazungu kwenye mambo yetu.
Hauna ubavu wa kumzuia Mzungu wewe..Upo hapa JF na kula unachofanya 80% kinategemea mkono wa mzunguTanzania ni Sovereignty country hatutavumilia kuingiliwa na wazungu kwenye mambo yetu.
Tume ya Chande imeua matumaini yote ya ICC.Tume ya chande siyo tume ya kitaifa jombaa! Angalia wajumbe wake ni watu wa mtuhumiwa na wengine ni wahusika wa mauaji. Usijilishe upepo usiokuwepo. Maoni ya utafiti wao hautakidhi viwango vya kimataifa unaotakiwa hivyo acha kuidanganya.
Kwa sera gani walizonazo CDM mpaka CCM wakabidhi kwao nchini?. Mkuu tembelea huko mikoani yamefanyika mengi mno yenye kuhalalisha kila kura waliyoipata CCM.Tunarudi pale pale, Mbogamboga kwenye fair grounds ni mapema tu wanakabidhi dola kwa wapinzani.
Thats why waliplay foul wakashoot innocent lives.
Wapuuzi nyinyi mnaodhani kwenda ICC ni sawa na kwenda kariakoo kununua simu ya kichina.Kwahiyo mnadanganyana kuwa tume ya rais ndiyo kinga yake, wapuuzi sana nyie.
ICC haiwezi mtia nguvuni rais aliye madarakani,wanaoogopa kutoa hizo picha kama zipo wanapaswa kumbuka kuwa ICC hatoenda rais peke yake bali na wakuu wa vyombo vya usalama na ulinziSubiria yule mkuu akishatiwa nguvuni watu watakuja mpaka na picha za waliokuwa wanafukia maiti. Usalama ni mdogo sahizi watu hawawezi risk maisha yao.
Wewe jamaa haujajifunza tu? Bado unaendelea na hoja zako za eti "muda huu angekuwa keshashtakiwa". Niliwahi kukuuliza kwa kauli yako hiyo, umewahi kusikia kesi ipi ambayo mtuhumiwa wa genocide alishtakiwa na kuhukumiwa ndani ya miezi 3? Ukawa unajiumauma tu bila jibu. Leo unaibuka tena na hoja hiyo.Wapuuzi nyinyi mnaodhani kwenda ICC ni sawa na kwenda kariakoo kununua simu ya kichina.
Jifunzeni mengi sio kila kitu mnapinga bila hata ya kuwa na uelewa mdogo.
Uwepo wa Tume ni kinga ya rais kushtakiwa haswa yanapokuwa yametokea mauaji ya kawaida (crime against humanity), ingekuwa imetokea genocide (mauaji ya kimbari), SSH mpaka muda huu angekuwa keshashtakiwa.
Ndiko kuathirika huku, usifikiri kumwaga damu ya watu ni jambo jepesi.Yaani ICC waje wamshtaki Rais na wasidizi wake (JWTZ & TANPOL), waliozima machafuko ya uharibifu wa mali, wizi, uchomaji moto mali kwa ufanisi wa hali ya juu ndani ya masaa 12???
Hakuna ICC ya hivyo. On the contrary tuvisifu vyombo vyetu kwa kutuheshimisha maana wale MAHAYAWANI walikuwa wanatupeleka pabaya kwa kisingizio cha maandamano ya kudai haki
Wewe umebaki sasa unaweweseka tu hata hujui unachangia kitu gani.Namna hili swala lilivyowekwa na mleta mada inaonyesha hajui masuala nyeti ya kisheria.
Ndio uzushi wenyewe ambao ni msingi wa mada za uzi huu.
Kichwa cha mada kinaeleza:"Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC"Namna hili swala lilivyowekwa na mleta mada inaonyesha hajui masuala nyeti ya kisheria.
Ndio uzushi wenyewe ambao ni msingi wa mada za uzi huu.
Kwani ICC inategemea tume ya Rais ambaye ndiye mtuhumiwa.Tume ya Chande imeua matumaini yote ya ICC.
Jielimishe kwanza namna ICC inavyofanya kazi.Kwani ICC inategemea tume ya Rais ambaye ndiye mtuhumiwa.
Wewe kuandika sentensi moja ya reply ndio unataka kutuambia una elimu ya ICC uliisomea wapi, you must be joking.Jielimishe kwanza namna ICC inavyofanya kazi.
Usiwe mtumwa wa wanaharakati kama tito.
Stay tuned hivyo mpaka 2030. Na wewe lazima upate kichaa maana huna la kufanya zaidi ya kufungua nyuzi za chukiUtaelewa tu.
Stay tuned.
Saddam alikamatwa kesi ikasikilizwa akanyongwa.Wewe jamaa haujajifunza tu? Bado unaendelea na hoja zako za eti "muda huu angekuwa keshashtakiwa". Niliwahi kukuuliza kwa kauli yako hiyo, umewahi kusikia kesi ipi ambayo mtuhumiwa wa genocide alishtakiwa na kuhukumiwa ndani ya miezi 3? Ukawa unajiumauma tu bila jibu. Leo unaibuka tena na hoja hiyo.
Bila shoot to kill ingekuwa vigumu kudhibiti zile vurugu zilizolipuka mikoa zaidi ya 5 kwa wakati mmoja. Bila shoot to kill sasa hivi tungekuwa ni Sudan nyingineBora ingekuwa Sudan kwa muda ili kuondoa nzi wa kijani kwenye usukani wa dola
Huyo Jamaa hii miaka minne ya SSH itakuwa mingi sana kwake, ataishia kuchanganyikiwa akiona siku zinapita na hakuna chochote kinachofanyika.Stay tuned hivyo mpaka 2030. Na wewe lazima upate kichaa maana huna la kufanya zaidi ya kufungua nyuzi za chuki
Bila shoot to kill ingekuwa vigumu kudhibiti zile vurugu zilizolipuka mikoa zaidi ya 5 kwa wakati mmoja. Bila shoot to kill sasa hivi tungekuwa ni Sudan nyingineItabidi avumilie matokeo ya kuwaua mahayawani.
Uzushi mtupu hii mada nzima. Mnaishi kwa kutengeneza taharuki mitandaoni. Huko nje mmeona hapawezekaniki kufanyika upuuzi wa maandamano sasa hivi mmehamia mitandaoni.Kichwa cha mada kinaeleza:"Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC"
Sasa wewe mjuwaji tueleze ni kipi kinachofanya uone kuwa "swala limewekwa" visivyo.
Maswala nyeti ya kisheria hayahusu mhusika kujulishwa. Uzushi upo wapi kwenye taarifa kama hiyo.
Tueleze basi wewe usiyekuwa na uzushi?
Bila shoot to kill ingekuwa vigumu kudhibiti zile vurugu zilizolipuka mikoa zaidi ya 5 kwa wakati mmoja. Bila shoot to kill sasa hivi tungekuwa ni Sudan nyingineNdiko kuathirika huku, usifikiri kumwaga damu ya watu ni jambo jepesi.
Na bado, uhai wenu wote mtakuwa na mihangaiko mikubwa sana.
Mnajisumbua vichwa tu, kilichofanywa na hao war lords huko Sudan ni tofauti na alichokifanya SSH tarehe 29 October. Kesi mbili tofauti kabisa.Wewe umebaki sasa unaweweseka tu hata hujui unachangia kitu gani.
Hayo maswala unayoyajuwa wewe mbona huyaelezi; umebaki unaunga unga tu maneno yasiyokuwa na maana yoyote.
Hii haitamsaidia chochote Samia.
Unajuwa kuna ma-'war-lords' wangapi DRC wameshtakiwa katika mahakama hiyo hiyo ya ICC. Huyu Samia anayejipa urais FEKI wewe unadhani atakuwa na nafuu yoyote kuliko hao wengine wote?
Kuhangaika kwako namna hii kumekufanya utambulike kuwa karibu sana na wahusika wa mauaji ya waTanzania Ni sehemu ipi uliyochangia wewe katika uovu huu?.