Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Hii picha inaonyesha Papa anamwangalia jamaa kama zimetimiaMlifikiri TEC ya mchezo mchezo hadi mjue dini ya kweli ni ipi, mwambieni na mama yenu akatubu
View attachment 3535719
Hii picha inaonyesha Papa anamwangalia jamaa kama zimetimiaMlifikiri TEC ya mchezo mchezo hadi mjue dini ya kweli ni ipi, mwambieni na mama yenu akatubu
View attachment 3535719
Hiyo ndio ilikuwa hit single but not anymore kwani imeshachuja kitambo,Uchawa ni ukilaza tosha ulionao?.
Ndio lissu alivokufundisha ...mbona wewe hujapiga kitu cha utosi. ungejichanganya si unaleta ujuaji wako apa next time ingia road tukupeleke na wewe ukaonane na wizi wenzio.Kwa watoto wa watu uliowaua na kumwaga damu walilazimishwa kuandamana ?Kwamba hao watoto wa watu uliomwaga damu zao walilipwa ili waandamane?
Ukute na wewe unatengo serikalini na uwezo wako mdogo sana kufikiri
Umeuawa watu kwasababu zifuatazo
1. Uliteka na kuua watu kabla ya uchaguzi
2.Ulipora haki za watu kuchagua tangu serikali za mitaa
3.Ulinyanyasa watu na kufungua watu ilimuendelee kutawala
4.Ulikataa reforms iliuendee kutawala
Hizo ndiyo sababu za Maandamano.Tatizo mnatumia makalio kufikiria
Walitaka kumpindua Samuya kama wanavomwita. Mkuu magnifico naamini unajua matekeo ya kufanya mapinduzi.Duh kumbe ndio huyo? Hao watu waliuliwa kwa kosa gani mkuu?
Tuliowahi kuhudhuria mafunzo hatukufundishwa hiyo mbinu ya kuwashoot adui wasio na silaha yoyote zaidi ya kuwatisha kwa kurusha risasi hewani ili watawanyike ama kulala chini wakiamriwa.Yale yalikuwa maamuzi ya busara sana, ni machungu lakini ndiyo yaliyotufikisha kwenye huu utulivu tulionao.
Una jeshi, polisi, bunduki, risasi halafu uanze majaribio ya rubber bullets?? Kwani ile vurugu unadhani ilikuwa inazimwa na maji ya washawasha?? Ile siyo mechi ya Simba na Yanga!!
Kesi zinachukua muda lakini uwepo wa tume tayari umeshaonyesha nia ya serikali kulifahamu suala hili kiundani.Unarudiaga kauli kuwa ingekuwa ni genocide, Samia angekuwa muda huu ameshitakiwa na kuhukumiwa. Tuambie katika mifano yako hiyo ya genocide, ni upi ambao mshitakiwa alishitakiwa na kuhukumiwa ndani ya miezi 3 toka tukio analoshitakiwa nalo kutokea.
Mkuu wale waliokata vidole vya wapiga kura kwanini wasingeviacha tu wakaruhusu watu waende majumbani mwao bila ya kupata kilema chochote?.Tuliowahi kuhudhuria mafunzo hatukufundishwa hiyo mbinu ya kuwashoot adui wasio na silaha yoyote zaidi ya kuwatisha kwa kurusha risasi hewani ili watawanyike ama kulala chini wakiamriwa.
Hii ya kwenu ya kuua watoto, kina mama na wazee tena kwa kulenga kichwani, mgongoni na tumboni ndio itakayowarahishia ICC kuwahukumu kifo mapema.
Hivi hao walenga shabaha hawakuona miguu ya wahanga ili wawalegeze Kisha wawakamate na kuwashtaki?
Kwanini waligeuka mahakama na kusahau wajibi wao wa ukamataji?
Najua hujui kuwa wengi wa waliokabidhiwa silaha ni uvccm ambao walikuwa wanafanya mazoezi na jeshi kabla ya uchaguzi. Ili wapone wawakamate wale uvccm na kuwashtaki ili kupunguza tension inayowasonga.
Hata Durtete wa Philipinnes alimaliza muda wake, muda wake ulipoisha raisi aliyemfuatia alimkabidhi ICC aende kujibu madhitska dhidi yake. Jinai haifi.Inaonekana una hulka ya ubishi, hiyo Mahakama ni usenge tu ndio maana matamko yake wahuni hawayatilii maanani na wanaendelea na uhuni wao.
Nakuhakikishia Samia atamaliza miaka yake kadri atakavyozawadiwa pumzi ya uhai pasipo kukamatwa na yeyote.
Hizi ndoto za mchana, story mnazianzisha na kuzichangia kwa wingi nyinyi wenyewe.Hata Durtete wa Philipinnes alimaliza muda wake, muda wake ulipoisha raisi aliyemfuatia alimkabidhi ICC aende kujibu madhitska dhidi yake. Jinai haifi.
Vv
Nani aliyekatwa kidole?Mkuu wale waliokata vidole vya wapiga kura kwanini wasingeviacha tu wakaruhusu watu waende majumbani mwao bila ya kupata kilema chochote?.
Mazingira ya machafuko kuna kila aina ya ushetani unaokuwa ukiendelea, sio kitu cha kuombea kitokee.
Labda tuwaulize wale vilema kule Angola, Liberia, Somalia ambao walikatwa miguu baada ya kulipukiwa na mabomu je walikuwa na kosa lolote au uhusiano wowote na siasa za wanasiasa wa mataifa hayo?.
Picha zimezagaa huko instagram na facebook. Usipotezee watu muda kwa kuwajengea taharuki kwamba SSH anashtakiwa ICC, hakuna nchi unaweza kuipindua halafu ukaachwa tu uendelee kupumua.Nani aliyekatwa kidole?
Tupe uthibitisho hapa.
Na mamaako alipoenda Vatikan kabla ya Oct29 alienda kumshtaki Kitime? Utalisema sana kanisa katoriki ila viongozi wako wanaokulipa buku 7 za kusema ujinga wako hapa wanasafiri umbali mrefu mpaka Vatikani kulamba miguu ya Papa unaekesha kumsema vibaya hapa.Kwanini wakeshe kwenda Rome na siyo Saudia? Sasa wewe mbwa na mwenye mbwa anaekufuga wewe, nani anaakili??Vyovyote vile
Tena bila shaka wameenda kumweleza upuuzi wa hawa wavaa magauni kitime na ruwaichi jinsi walivyoshiriki kulitumia kanisa kuchochea machafuko.
Itakua vyemaI think "the state" wana engineer Tanzania mpya .... tusubiri mshangao.
Imagine mtu anajaribu kukilinganisha kile kibibi ambacho kinaishi kwa kuwategemea akina Mafwele na Muliro wakilinde utawala wake usianguke, na mtu ambaye ana battle na Aliiance ya kijeshi kubwa zaidi duniani NATO na anawamudu.Putin hauwezi kumuweka mzani Mmoja na samuya hata Kwa bahati mbaya , ushawishi wa Putin unaweza sababisha WW3 endapo akikamatwa Je samuya anaweza sababisha hata vita ya kikanda !?
KAmuua babako?Facts ni zipi we mbwa takataka....??? Facts ni kuwa Raia Haramu Samia Kaua...na ushahidi upo
Unabwabwaja tu na kujaza server za Jamii Forums. Nimekuuliza tutajie kesi ya genocide ambayo mtuhumiwa alihukumiwa ndani ya miezi 3 tangu tukio analohukumiwa nalo kutokea. Usikimbie maneno yako mwenyewe.Kesi zinachukua muda lakini uwepo wa tume tayari umeshaonyesha nia ya serikali kulifahamu suala hili kiundani.
Kishabiki mtu anaweza kuuliza inakuwaje mtuhumiwa akaunda tume, lakini anasahau kwamba huyo anayemuita mtuhumiwa ana mamlaka gani kikatiba.
Hizi hoja za pingapinga ni humu humu kwenye maongezi yetu tukiweka kila kitu rasmi SSH ni Rais wa JMT anayo haki kikatiba kuunda tume.
Waulize wale wanasheria waliofungua kesi kupinga uhalali wa tume walikutana na hukumu gani huko mahakama kuu.
Ndio inabidi aishi hivyo kama mbwa mwizi.Kwahiyo na Samuya atakuwa na kibarua cha kukimbia kimbia na kujificha kama Al bashir, hiyo nayo ni adhabu tosha kwa mwanamke.
Kumbe huelewi siasa za dunia.
Hiyo tu inaleta justification ya kupinduliwa. Sio viongozi wote watependa kuishi kwa vikwazo, wanahitaji uhuru.
Kama sio kupinduliwa, ni kuuwawa. Ili maisha ya watu yaende.
Unapata taabu sana; sasa ndiyo unaikumbuka damu; wakati siku zote kabla ya hii iliyomwagika tuliwaonya sana kumwaga damu ya waTanzania na mkapuuza?Uzushi mtupu hii mada nzima. Mnaishi kwa kutengeneza taharuki mitandaoni. Huko nje mmeona hapawezekaniki kufanyika upuuzi wa maandamano sasa hivi mmehamia mitandaoni.
Tarehe 9 na 25 Desemba mlishindwa kufanya ule upuuzi wa machafuko, Jan mosi mkashindwa tena sasa mmehamia kwenye taharuki za instagram na facebook.
Mmetumwa damu na hamtakuja kuipata tena zaidi ya ile iliyomwagika 29 October 2025.
Anayependa kuona machafuko humjui?Mnajisumbua vichwa tu, kilichofanywa na hao war lords huko Sudan ni tofauti na alichokifanya SSH tarehe 29 October. Kesi mbili tofauti kabisa.
Mnapenda sana kuona nchi inachafuka, watanzania akili zao zipo mbele ya muda kulinganisha na nyinyi, wameukataa ujinga wa hizi taharuki.