Tito Magoti: Samia amefahamishwa rasmi kuhusu shauri lililofunguliwa dhidi yake ICC

Tanzania ni Sovereignty country hatutavumilia kuingiliwa na wazungu kwenye mambo yetu.
Lakini Tanzania ni mwanachama wa ICC na ICC sio ya Wazungu peke Yao.
Viongozi waliowahi kufungwa na mahakama hii ni
Slobodan Milosevic - Serbia
Charles Taylor -Libeia
Kwa uchache.
 
Tanzania ni Sovereignty country hatutavumilia kuingiliwa na wazungu kwenye mambo yetu.
Mko Vatican lakini kupiga Magoti Muislamu na Mwanglikana wasiojua protocal za Kanisa katoliki zinaanzia wapi!
 
Wewe unaandika nadharia ulizofundishwa chuoni, lakini hukuona battle ground palikuwaje. Tumetumia vizuri akiba ya risasi na bunduki zetu. Kumbuka kuwa hazikununuliwa kukaa kwenye maghala ya silaha
 
Hakuna hukumu inayotoka kwa miezi mitatu, hizi sio kesi za mahakama ya hakimu mkazi kisutu, zinahitaji ushahidi unaopatikana baada ya miaka kadhaa.
Ila wewe umesema Samia angekuwa anatuhumiwa kwa genocide, sasa hivi angekuwa ameshahukumiwa. Hilo ulilisema wiki kadhaa nyuma na umelirudia tena katika uzi huu.

Tambua kuwa kuanzia 29/10/2025 hadi leo ndiyo inatimia miezi mitatu. Kwa hiyo unakiri kwamba umekuwa unaongea utumbo.
 
Mkuu kesi mbaya huwa ya genocide kuliko mauaji dhidi ya ubinadamu.

Kilichotokea TZ watu wasiokuwa na silaha walipigwa risasi, huo uhalifu unafanyika dunia nzima kule DRC kila siku wanauwawa kinamama na watoto wasiokuwa na hatia yoyote umewahi kusikia Rais anashtakiwa ICC?.

USA wamepotea watu 1200 hawajulikani wapo wapi, walikamatwa wakiwa hawana vibali vya kuishi wakawapeleka kwenye gereza linaitwa Alligator Alcatraz zaidi ya miezi mitatu iliyopita mpaka leo hawajulikani wapo wapi, huwezi kusikia ICC wakimshtaki Trump kwa kupotezwa kwa hao raia wa kigeni.

Sio shughuli nyepesi kumshtaki Rais wa nchi kwa mauaji mengi ya raia wasiokuwa na risasi yanayotokea kwenye nchi yake, vinginevyo marais wengi duniani wangekuwa wanafanya kazi moja tu ya kwenda The Hague kujibu tuhuma.
 
Kuna wapumbavu duniani ila wewe ni lipumbavu.
 
Mbona unajifanya hauelewi hoja iliyopo mezani. Embu tafuta mtu karibu yako mwenye akili timamu akueleweshe tunachozungumza.

Narudia tena. Hakuna anayemtuhumu Samia kwa genocide ila wewe unasema angekuwa anatuhumiwa kwa genocide muda huu angekuwa ameshahukumiwa. Swali lililopo ni kwamba, nani ambaye amewahi kushitakiwa na kuhukumiwa kwa genocide ndani ya miezi 3 toka tukio analoshutumiwa nalo kutokea? Kama unakiri kuwa kesi ya genocide ni process ndefu na hakuna amewahi kupewa hukumu ndani ya miezi 3 toka tukio litokee, basi futa kauli yako ambayo unapenda kuirudia rudia kuwa Samia angekuwa amefanya genocide basi sasa hivi angekuwa ameshashitakiwa na kuhukumiwa maana hakuna precedence ya speed hiyo.
 
Mbona unajifanya hauelewi hoja iliyopo mezani. Embu tafuta mtu karibu yako mwenye akili timamu akueleweshe tunachozungumza.
Hii hoja inatungwa na wanaharakati wao siku zote wanatengeneza taharuki miongoni mwa watu.

Watafanya hivyo kwa habari za instagram, kwa kutumia video za siku ile ya October 29, wanaweka hai ile chuki ambayo muda unavyokwenda inazidi kutoka kwenye mioyo ya watu.

Kuundwa kwa tume ya Chande maana yake hao ICC inabidi waunde tume yao ije ifanye kazi na hii inayozunguka sehemu mbalimbali.

Hakuna uwezekano shauri likafunguliwa huko ICC wakati huku Tanzania kuna tume iliyoundwa na Rais.
 
Soma tena maelezo yangu ya hapo mwisho. Tulimalize la genocide kwanza ndiyo twende hilo la tume ambalo nalo ni boko lingine unatoa.

Unazidi kukurupuka au kudhani watu wajinga humu ndani.
 
Genocide - mauaji ya kimbari.

Rais wa nchi anaamua kwa makusudi kuliteketeza kabila moja. Zipo aina nyingi za mauaji ya kimbari.

Hitler aliwachoma wayahudi kule Auschwitz Poland.

Wahutu waliwapiga mapanga na mikuki watutsi kule Rwanda mwaka 1994 wauaji wale wamekuwa wakikamatwa kuanzia mwaka ile mpaka leo na wanashtakiwa ICC.

Saddam Hussein aliwauwa wakurdi kwa sumu ya hewa. Kimbari haimuachi mtu salama huwa anakamatwa na kuhukumu haraka sana.

Tume ya ndani ya nchi (mfano hii ya Chande) haiwezi kumuokoa kiongozi wa nchi anayefanya mauaji ya kimbari.

SSH anahusika na mauaji dhidi ya ubinadamu (crime against humanity) hii haina kesi ngumu kama genocide, dunia nzima mauaji ya aina hiyo yanafanyika huwezi kila rais anayefanya mauaji hayo ukampeleka ICC.

Trump kaua wahamiaji haramu 1200 waliokuwa kwenye gereza maalum kule USA, hawajulikani walipo kwani hapo gerezani hawapo, kwenye simu zao binafsi hawapatikani, unaweza kumpeleka Trump kule ICC?.
 
Miaka minne kuelekea 2030 mtaiona kama kumi hivi!.
HHebu weka akilini mwako, hiyo minne wewe utakuwa na hali gani hasa. Huyo unayemtegemea kwa makombo akiwa na bahati sana atakuwa jela; vinginevyo mzoga wake utakuwa chakula cha minyoo.
 
Saddam Hussein aliwauwa wakurdi kwa sumu ya hewa. Kimbari haimuachi mtu salama huwa anakamatwa na kuhukumu haraka sana.
Lakini hujaitaja Gaza; siyo kwamba Samia naye atakuwa na kinga kama mhusika wa huko.
Sasa kama wewe unaona ICC ni ukuta unaomlinda Samia, elewa kuwa waTanzania wenyewe tutafanya kazi ya ukombozi wa nchi yetu.
 
Trump kaua wahamiaji haramu 1200 waliokuwa kwenye gereza maalum kule USA, hawajulikani walipo kwani hapo gerezani hawapo, kwenye simu zao binafsi hawapatikani, unaweza kumpeleka Trump kule ICC?.
Wewe hii habari umeitoa wapi?
Huoni hata aibu kuzua tu taarifa ambazo hata hazipo kabisa?. Unacho kielelezo chochote kuhusu taarifa hiyo?

Matapeli waovu kabisa kama wewe ndio mnaojifanya kujuwa mambo huku mkiwa ni wajinga wakubwa.

Hata hivyo, Trump na Samia wapi na wapi hadi uthubutu kulinganisha!

Charles Taylor na 'warlords' kadhaa wa DRC waliohukumiwa na mahakama hiyo hiyo nao walifanya' genocide'
 
USA wamepotea watu 1200 hawajulikani wapo wapi, walikamatwa wakiwa hawana vibali vya kuishi wakawapeleka kwenye gereza linaitwa Alligator Alcatraz zaidi ya miezi mitatu iliyopita mpaka leo hawajulikani wapo wapi, huwezi kusikia ICC wakimshtaki Trump kwa kupotezwa kwa hao raia wa kigeni
Wewe ni mpumbavu. Marekani hawamo kwenye mpango huo wa ICC; sasa hapa unataka kuhadaa watu kwa ujinga wako huu.

Mwanzo ulikana kuwa Samia hajapewa taarifa hiyo ya ICC, sasa unaanza kuzua taarifa za 'genocide' na 'crime against humanity'; ukijidanganya Samia hata akipelkwa huko hiyo ni kesi ndogo!

Kesi ndogo wakati mmeua waTanzania?
 
Ila wewe umesema Samia angekuwa anatuhumiwa kwa genocide, sasa hivi angekuwa ameshahukumiwa. Hilo ulilisema wiki kadhaa nyuma na umelirudia tena katika uzi huu.

Tambua kuwa kuanzia 29/10/2025 hadi leo ndiyo inatimia miezi mitatu. Kwa hiyo unakiri kwamba umekuwa unaongea utumbo.
Huyo mtu ndiye Hamza Johari, au yupo karibu sana na huyo Hamza.
 
Back
Top Bottom