Kitanzi mbona kinamsubiri yeye! hili nalo unasubiri hadi uambiwe?Kanisa safari hii wote mtageuka vichaa
Kama hutaki kuwa yeye ni Rais jitie kitanzi
Kitanzi mbona kinamsubiri yeye! hili nalo unasubiri hadi uambiwe?Kanisa safari hii wote mtageuka vichaa
Kama hutaki kuwa yeye ni Rais jitie kitanzi
Hii miaka minne itaonekana mingi kwenu, muda mtauona hauendi huku mkiendelea kununa kama watoto wadogo.Anayependa kuona machafuko humjui?
Siku zote unaelezwa humu bado hujui?
Na bado unataka watu warudierudie yaleyale ya siku zote kukueleza wewe?
Dawa iliyobaki sasa ni hiyo, ya kuwaondoa kwa nguvu; kupitia ICC au kwa njia zetu nyingine. Nyinyi ni maadui wakubwa wa nchi hii.
Chezea ndevu usichezee dola - Salmin AmourUnapata taabu sana; sasa ndiyo unaikumbuka damu; wakati siku zote kabla ya hii iliyomwagika tuliwaonya sana kumwaga damu ya waTanzania na mkapuuza?
Ni hivi: sasa damu itakayomwagika ni ya waovu kama wewe na huyo anayekufuga. Hampati tena fursa ya kumwaga damu ya waTanzania kizembe.
WaTanzania wanataka kuona damu yenu ipoje kiasi kwamba muwe mashetani wa namna hii!
Hakuna hukumu inayotoka kwa miezi mitatu, hizi sio kesi za mahakama ya hakimu mkazi kisutu, zinahitaji ushahidi unaopatikana baada ya miaka kadhaa.Unabwabwaja tu na kujaza server za Jamii Forums. Nimekuuliza tutajie kesi ya genocide ambayo mtuhumiwa alihukumiwa ndani ya miezi 3 tangu tukio analohukumiwa nalo kutokea. Usikimbie maneno yako mwenyewe.
Kwa mantinki hiyo basi huyu anaweza kuamua kutotoka Madarakani ili awe salama mileleHata Durtete wa Philipinnes alimaliza muda wake, muda wake ulipoisha raisi aliyemfuatia alimkabidhi ICC aende kujibu madhitska dhidi yake. Jinai haifi.
Vv
Nchi ataongoza saa ngapi?. Kivipi?Ndio inabidi aishi hivyo kama mbwa mwizi.
Utakuwa kichwani hazikutoshi kufikiri kuna miaka minne.Hii miaka minne itaonekana mingi kwenu, muda mtauona hauendi huku mkiendelea kununa kama watoto wadogo.
Hapo ulipo unajuwa hali ngumu inayowasubiri. Huku kuingia humu JF na kujaza matakata utakuwa huna nafasi hiyo tena.Chezea ndevu usichezee dola - Salmin Amour
Amka mkuu kalamu usije ukajikojolea hapo kitandani.Utakuwa kichwani hazikutoshi kufikiri kuna miaka minne.
Hiyo miaka minne mkiwa na bahati sana mtakuwa mnatumikia haki yenu jela; vinginevyo mizoga yenu itakuwa inaliwa na funza
Hapo ulipo unajuwa hali ngumu inayowasubiri. Huku kuingia humu JF na kujaza matakata utakuwa huna nafasi hiyo tena.
Samia Suluhu Hassan hana "dola" ya aina yoyote; alicho nacho hadi wakati huu ni nguruwe tu kama wewe, na hao akina Rear Admiral wachovu sana; akina Camillius; Jumanne. Hamza; Awadh aliowanunua au wanaolinda maslahi yao. Hawa wote watayeyuka na hapo ndipo utakapotambua kuwa hakuna dola yoyote unayoitegemea wewe na huyo mfugaji wako Samia.
Sasa sijui unataka ukumbushwe mara ngapi kuhusu hili.
Hiyo mitutu ndiyo itakayowakabili mashetani nyinyi.
Hii ni mipasho ya kwenye kanga. Wewe unaileta hapa ikupoze maumivu yanayokusumbua kichwani mwako. Haisaidii chochote.Chezea ndevu usichezee dola - Salmin Amour
Huu "uswahili" haunihusu kabisa mimi. Kaa na maumivu yako mwenyewe na huyo anayekufuga.Amka mkuu kalamu usije ukajikojolea hapo kitandani.
Walitaka eti Polisi watumie gari la maji washawasha na mabomu ya machozi. Watu wanadhani ile ilikuwa vurugu za mpira wa Yanga na SimbaRais aliwauliza kama ile ilikuwa nguvu kubwa nguvu ndogo ipoje?.
Trump analalamikiwa kuua wahamiaji haramu 1200 walikuwa wamepelekewa kwenye kituo kimoja wakisubiri kurudishwa makwao.Ukitaka kujua Samia na watu wake ni wauaji na hawana akili angalia tu maneno yao namna wanavyojaribu kujustify kufanya mauaji.
Ilivyo mipumbavu hailewi kuwa kisheria mauaji ni mauaji kamwe hayawezi kuwa na justification.
Hata manslaughter ina kifungo ndo iwe murder?? Hawa majitu ni vilaza na wapumbavu kupindukia.
Ngoja ICC ikawatie adabu vizuri.
Miaka minne kuelekea 2030 mtaiona kama kumi hivi!.Huu "uswahili" haunihusu kabisa mimi. Kaa na maumivu yako mwenyewe na huyo anayekufuga.
Kwani wewe ndiye Prosecutor wa ICC?Utacomment sana kwa multiple id zako mwaka huu ila elewa tu, mwaka huu icc haiepukiki
Wewe unaandika nadharia ulizofundishwa chuoni, lakini hukuona battle ground palikuwaje. Tumetumia vizuri akiba ya risasi na bunduki zetu. Kumbuka kuwa hazikununuliwa kukaa kwenye maghala ya silahaTuliowahi kuhudhuria mafunzo hatukufundishwa hiyo mbinu ya kuwashoot adui wasio na silaha yoyote zaidi ya kuwatisha kwa kurusha risasi hewani ili watawanyike ama kulala chini wakiamriwa.
Hii ya kwenu ya kuua watoto, kina mama na wazee tena kwa kulenga kichwani, mgongoni na tumboni ndio itakayowarahishia ICC kuwahukumu kifo mapema.
Hivi hao walenga shabaha hawakuona miguu ya wahanga ili wawalegeze Kisha wawakamate na kuwashtaki?
Kwanini waligeuka mahakama na kusahau wajibi wao wa ukamataji?
Najua hujui kuwa wengi wa waliokabidhiwa silaha ni uvccm ambao walikuwa wanafanya mazoezi na jeshi kabla ya uchaguzi. Ili wapone wawakamate wale uvccm na kuwashtaki ili kupunguza tension inayowasonga.
Hebu hariri andiko lako wewe ambaye hukufundishwa nadharia Bali elimu ya madrasa. Najua watu wa visiwani mlishiriki kwa moyo wote kutekeleza unyama ule. Yatajilipa tu siku moja.Wewe unaandika nadharia ukizofundishwa chuoni, lakino hukuona battle ground palikuwaje. Tumetumia vizuri akiba ya risasi na bunduki zetu. Kumbuka kuwa hazikununuliwa kukaa kwenue maghala ya silaha
Dini ndiyo iliyomtuma kuua watz 10k na kufukia makaburi ya pamoja! kuficha? kama kuna dini ya hivyo ni ya kishetani basi ipingwe tu!Wana dini tu hao, mbona Trump hawamshtaki?
Kwani wanajeshi walikuwa wanaua raia? Mbona barrier zote za town walikuwa WAJEDA? Unajua kwanini wewe Kichwa BOX? Ndiyo maana ya kuwa on our side na kukosa hao hali ingekuwa mbaya zaidi.Sasa nyinyi mafala si mlikuwa mnatamba jeshi liko nyuma yenu??
Mnalalamika nini sasa
Inaonyesha wewe ni mlevi wa pombe kali za kienyeji huna Cha kupoteza kabisaWewe unaandika nadharia ukizofundishwa chuoni, lakino hukuona battle ground palikuwaje. Tumetumia vizuri akiba ya risasi na bunduki zetu. Kumbuka kuwa hazikununuliwa kukaa kwenue maghala ya silaha