Saddam alikamatwa kesi ikasikilizwa akanyongwa.
Wale wahutu kule Rwanda kila wanapokamatwa wanashtakiwa.
Wale wauaji wa Hitler waliendelea kukamatwa mmoja mmoja duniani pote walipokimbilia na kushtakiwa.
Tofautisha genocide na crime against humanity, hiyo ya pili inatokea dunia nzima kila mahali.
Kule USA mpaka wanafunzi wa shule za msingi wanaua darasa zima, mtu akichukia anachukua tu bunduki na kupiga risasi wote wanaokuwemo ndani ya supermarket.
Hayo ni mauaji dhidi ya ubinadamu, kwa kesi za namna hiyo Rais anapounda tume ni lazima taasisi inayotaka kumshtaki na yenyewe iunde tume zije zifanye kazi kwa pamoja.
Noma ni Genocide huwa ushahidi ukipatikana haichelewi kuanza kusikilizwa kesi, genocide hata tume ya rais inakuwa haina msaada wowote kwake, lazima apelekwe The Hague.