ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Vibaraka wote lazima wasagwe Ili wengi wawe salamaUnalindaje Sovereignty kwa kuua raia wako badala ya kupambana na adui anayetoka nje ya mipaka?
Vibaraka wote lazima wasagwe Ili wengi wawe salamaUnalindaje Sovereignty kwa kuua raia wako badala ya kupambana na adui anayetoka nje ya mipaka?
Fedha unazo pewa Kwa sababu ya kufanikisha mpango uvu usifirahia .Hizo fedha zinaweza kuishia kwenye matibabu ya kansa ya kazazi Kwa mama yako!!Damu za watu ni mbaya
Nikiona post ya mitusi tu najua huyo lazima ni CHADEMAFacts ni zipi we mbwa takataka....??? Facts ni kuwa Raia Haramu Samia Kaua...na ushahidi upo
Kama serekali inaandaa hadi watu kujifanya ni wakatoliki wanapanda miti, bado chuki yako inakuaminisha kanisa lina kiwango cha chini katika ubora wake? Ukiitoa serekali, kanisa la Romani ni taasisi inayofuatia kwa nguvu na ubora. Ni ukweli unaomiza lakini haukwepeki. Washauri kwanza waisilamu kupanda miti kuzunguka misikiti ili tujue mtakaa wapi.Kanisa limekufa tayari
Kwani wewe unaona nani analipa heshima kanisa katoliki hivi sasa
Kanisa limekuwa kama zecomedy tuh
Kote mbali, kama Kenyatta tu na Rutto walifikishwa ICC huyu kibibi yeye ana uspesho gani asifikishwe kizimbani?Kuna Rais hapa Afrika atakataa kumkamata Samia kwa namna walivyomlaani kuuwa Watanzania?,
Hukuona statement ya Wizara ya Mambo ya Nje Ghana? SADC? Nchi za Maziwa Makuu?
Hukuona statement ya Former President wa Botswana na Thambo Mbeki? Hukuona Statement ya Chama tawala Afrika Kusini ANC?
Samia kila mtu hamtaki maana ananuka damu za watu.
Samia kamtuma Kombo kwenda Vatican kuwapigia magoti wavaa magauni kuwaomba msamaha chazea madhehebu yote lkn sio Katoliki.Aliekuambia mimi ni mtetezi wa uislam na waislam nani??
Uislam unahitaji kutetewa nani kakuambia??
Mimi ni kiboko ya hao wavaa magauni wahuni wanaoishi kwa kupiga nyeto na kuharibu amani ya nchi.
Na alivyo kilaza hakawii kusema aliamuru watu wauawe ili kutetea madaraka yake 😂! Watamnyoa fasta kabla jogoo hajawikaAngekuwa mwerevu angeruhusu Jeshi la Magereza liwe linamruhusu Lissu kwenda kumtetea huko ICC kisha anarudi tena Gelezani kuendelea na kesi yake ya UHAINI huku akijitetea mwenyewe.
Vingenevyo maza anakwenda kula nondo maisha, kizimkazi hatapaona tena maana kule kesi ni wiki tu ushakula miaka yako.
Subiria yule mkuu akishatiwa nguvuni watu watakuja mpaka na picha za waliokuwa wanafukia maiti. Usalama ni mdogo sahizi watu hawawezi risk maisha yao.Huwezi conclude uchunguzi wa kisheria toka kwenye picha halafu ukawa credible,lazima uende ground
Ndiyo maana mnabaki na maneno huenda mamia wamezikwa makaburi ya halaiki,hamna uhakika wala hamjui mseme yalipo
Na ICC sio Mahakama ya Kisutu kuwa atampigia hakimu mkazi aahirishe kesi, na huko haendi kwa hiyari atapelekwa kwa nguvu apende asipende.ICC sio soko la samaki feri kwamba mtu anajiendea tu, heshimuni sheria za nchi, heshimuni dola.
Msipoiheshimu dola kwa hiari yenu mtalazimishwa kufanya hivyo.
Baada ya kuua sonona anayopata si ya dunia hii.Wajinga sana hawa madogo, walimchukulia poa sana Rais kisa anavaa hijabu kisa mwanamama wa kizenji.
Cha moto wamekiona.
Nyie Mbwa wa mama mnapata shida sana kumtetea muuaji wakati yeye kajificha Tunguu.Hamjasema bado kenge nyinyi
Tunajua mnataka kupasuka na hatutawaacha safari hii
Hakuna tusi jipya..tukana yote hadi umalize lakini dawa yenu mkileta fujo unajua vile tunafanya...ni shaba tuh
Eti kaunda baraza la kutetea muuajiHana sababu ya kuzurura huko nje, kumbuka keshaunda baraza la mawaziri ambalo lipo kazini.
Hata WEWE UTAKUFA.Wale MAHAYAWANI walistahili kuuliwa tu. Kwanini wachome miundombinu ya Serikali?
Hamshindi mamako ambaye ni mke wa tatu mamangu ni mke wa kwanza.Malaya ni mama yako mzazi aliyekuzaa na hajakuonyesha baba yako ni nani hadi leo!! Ndiyo maana unaporomosha matusi tu
Hilo jina linawafaa sana mwenye mbwa kajificha mbwa koko wapo mitaani wanatubwekea.Mam'bwa ya Kahaba Samuya yamefunguliwa kubwekea wazalendo mitandaoni !
Mwambie na yeye aendelee kuua aone mbona anajificha.Mlitaka kuichoma nchi, mlitaka kufanana na Madagascar na Sri lanka ambapo waandamanaji walipindua nchi kifala tu.
Ule ujinga msije kuurudia tena hapa Tanzania.
Duh kumbe ndio huyo? Hao watu waliuliwa kwa kosa gani mkuu?Katika watu waliosababisha watoto wa watu kuuliwa uyo bwege yumo, matokeo ya kutomeza watoto wa watu then yeye abaki nyuma ya keyboard akipiga jaramba , unadhani Mungu atamuchekea ?!. Soon huyo kibwengo anakuwa chizi.
Kama tangu asubuhi unajadili habari fake basi utakuwa mjinga.Habari feki za kugushi mnazitengeneza kuwajaza taharuki wabongo, tafuteni kazi ya maana nyinyi kina Maria Sarungi huu ujinga wenu unakwenda ukichokwa na watanzania.
Hivi Mzungu akilitaka hili koloni lake ana haja ya kumtuma mshenga? Si anavamia tu na kupindua 😂Mkuu kuna watu walikatwa vidole kisa vilikuwa na wino wa kupiga kura.
Kuna polisi waliouliwa pale Magomeni na Tegeta pia.
Mpaka leo uchumi wa biashara nyingi umeyumba kwa sababu ya ule ujinga wa vijana wa siku ile.
Mngeachwa huru ndani ya nusu saa tu mngeikabidhi nchi kwa mabwana zenu wa huko Ulaya.
Mlichokitaka kwa mabavu mlikipata kwa mabavu, inashangaza kuona namna mnavyoendelea kujiliza kwa wazungu hao hao waliowatuma kufanya upuuzi ule.
Mlifikiri TEC ya mchezo mchezo hadi mjue dini ya kweli ni ipi, mwambieni na mama yenu akatubuTunataka mtukane matusi mapya hayo tumeshayazoea macho.ko nyinyi
Na mkiweza ingieni road tuwamwage mavi tena maaluuni wakubwa