Maelezo uliyoyatoa ni dalili tosha kwamba hauelewi procedure za kuwakamata hao wanaohitajika huko ICC zipoje.hakuna atakayemkamata kama tu arrrest warrant isipotoka, lkn kama ikitoka huwa inakwenda na regime change kwa hizi nchi msikini zisizo na nguvu, ni kwamba regime change itafwatia halafu raisi atakayekuja ataruhusu icc kuja kushika, game over ...
Kajificha Zanzibar anaamini kuna usalama zaidi.Samia anadunda mitaa gani.
Putin hauwezi kumuweka mzani Mmoja na samuya hata Kwa bahati mbaya , ushawishi wa Putin unaweza sababisha WW3 endapo akikamatwa Je samuya anaweza sababisha hata vita ya kikanda !?Jitathmini.
Putin ameacha kuua baada ya hapo?
Zanzibar kuna usalama gani?Kajificha Zanzibar anaamini kuna usalama zaidi.
Nasikia hata SGR mradi umekufa baada ya beberu kukata pesa, TRA hata KM moja hawana uwezo, ngoja muanze kukosa mishahara akili itarudiTanzania ni Sovereignty country hatutavumilia kuingiliwa na wazungu kwenye mambo yetu.
Maelezo uliyoyatoa ni dalili tosha kwamba hauelewi procedure za kuwakamata hao wanaohitajika huko ICC zipoje.
Nashauri ujielimishe zaidi kwenye eneo hilo.
Nakushukuru uwe na data kamili kwenye kujenga hoja zako.Nasikia hata SGR mradi umekufa baada ya beberu kukata pesa, TRA hata KM moja hawana uwezo, ngoja muanze kukosa mishahara akili itarudi
Fuatilia mambo zaidi. Kama unakumbuka Omar al-Bashir wa Sudan, Alipotembelea Afrika Kusini na Jordan (nchi wanachama wa ICC), hawakumkamata. Baadaye, Mahakama ya ICC ilitoa uamuzi kuwa nchi hizo zilivunja wajibu wao wa kisheria. Na hakuna chochote alichofanywa na hao ICC badala yake ni jeshi lake lililokuja kumpindua.wewe ndiyo labda hauelewi, anaweza kukamatwa popote, rodrigo duderte wa phillipines alikamatwa na icc ndani ya philipines, raisi wa ufilipino aliruhusu wau wa icc kuingina nchin na kummkamata, sasa kama iliwezekana ufilipino ije kushindikana tanzagiza kwa huyu? ...
Utakuja kujua hujuwiBasi ataeleza vizuri hiyo evil huko mbele ya safari
Mara 100 kutawaliwa na mzungu kuliko kutawaliwa shetani na nyie malaika wa shetaniTanzania ni Sovereignty country hatutavumilia kuingiliwa na wazungu kwenye mambo yetu.
Fuatilia mambo zaidi. Kama unakumbuka Omar al-Bashir wa Sudan, Alipotembelea Afrika Kusini na Jordan (nchi wanachama wa ICC), hawakumkamata. Baadaye, Mahakama ya ICC ilitoa uamuzi kuwa nchi hizo zilivunja wajibu wao wa kisheria. Na hakuna chochote alichofanywa na hao ICC badala yake ni jeshi lake lililokuja kumpindua.
Cha ajabu mnaamini kuna mtu atamkamata Rais Samuya. Nyie kwa nini mnapenda kujipa matumaini hewa?
Kuna Rais hapa Afrika atakataa kumkamata Samia kwa namna walivyomlaani kuuwa Watanzania?,Fuatilia mambo zaidi. Kama unakumbuka Omar al-Bashir wa Sudan, Alipotembelea Afrika Kusini na Jordan (nchi wanachama wa ICC), hawakumkamata. Baadaye, Mahakama ya ICC ilitoa uamuzi kuwa nchi hizo zilivunja wajibu wao wa kisheria. Na hakuna chochote alichofanywa na hao ICC badala yake ni jeshi lake lililokuja kumpindua.
Cha ajabu mnaamini kuna mtu atamkamata Rais Samuya. Nyie kwa nini mnapenda kujipa matumaini hewa?
Hata Maduro alikua anaongea hivyo hivyo, pia ungeandika tu kiswahili lugha ambayo labda unaifahamu vizuri.Tanzania ni Sovereignty country hatutavumilia kuingiliwa na wazungu kwenye mambo yetu.
Tumeshauri humu Serikali ijiandae kwa transfer of power maana mwak huu tumeshasema hatupumziki hadi Samia na washirika wake wanatiwa korokoroni.Kwa akili finyu za huyu ajuza na vidampa wake, wanaweza kuichukulia hiyo summons as if imetokea pale kisutu residency magistrate kwa mbwa wake.
Mambo yakichachamaa itakuwa mpishano mpishano vikumbo kuwahi chooni...!
Na lile shungi mbona atachanganyikiwa ajifunge kwabibi!
Sawa mheshimiwa unaye jua....Utakuja kujua hujuwi
Una level gani ya ELIMU?Wana dini tu hao, mbona Trump hawamshtaki?
Uchunguzi kwa picha za mtandaoni!?Hujui muda wa uchunguzi unategemea na upatikanaji wa ushahidi?
Kwa namna mauaji yaliyofanywa na Samia na washirika wake yalivyopata ushahidi wa haraka unaulizaje uchunguzi kuchukua miezi 2?
Vyombo vyote vya Kimataifa vinavyoheshimika duniani vimeelezea kwa ushahidi usio na mashaka namna mauaji yalivyofanywa alafu unauliza tena inakuwaje miezi miwili?
Si mlijiandaa kuuwa? Tulieni acheni kelele mshughulikiwe.
Hujui picha ni sehemu ya ushahidi kwenye makosa ya jinai?Uchunguzi kwa picha za mtandaoni!?