Tizama picha hii ili ufahamu kuwa Rais Samia aliandaliwa na hajafika hapo alipo kwa kubahatisha

Tizama picha hii ili ufahamu kuwa Rais Samia aliandaliwa na hajafika hapo alipo kwa kubahatisha

Kweli Lucas una tatizo mahali aisee sasa hiyo picha ina mahusiano gani na uraisi ?
Halafu unaandika maneno ya kukufuru Mungu kama Magufuli asingekufa huyo Samia angekuwa raisi?
Mhubiri 9:11
Huwezi ukaelewa kitu kama umejazwa roho ya shetani.
 
Bahati tu ilimdomdokea hakuwa kwenye maandalio ndio maana anapuyanga na anafanya maamuzi ya hovyo, anauza rasilimali za nchi, anatoa maneno ambayo hayafai mbele ya jumuia za kimataifa.
IMG-20240927-WA0010.jpg
 
Bahati tu ilimdomdokea hakuwa kwenye maandalio ndio maana anapuyanga na anafanya maamuzi ya hovyo, anauza rasilimali za nchi, anatoa maneno ambayo hayafai mbele ya jumuia za kimataifa.View attachment 3108214
Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu na kuwekwa hapo kwenye Urais na Mkono wa Mungu Mwenyewe.ndio maana Taifa linaendelea kusonga mbele vyema na watu kuishi wakiwa na matumaini makubwa sana
 
Kweli Lucas una tatizo mahali aisee sasa hiyo picha ina mahusiano gani na uraisi ?
Halafu unaandika maneno ya kukufuru Mungu kama Magufuli asingekufa huyo Samia angekuwa raisi?
Mhubiri 9:11
Wewe mwache amchurie tu, Mungu hadhihakiwi kamwe.
 
Ifikie hatua watu wenye akili tumwambie tu wewe ni mpumbavu..
Huwezi kujipendekeza kwanamna hiyo.

Hiyo nguvu ungejikita hapo mtaani kuwasaidia watoto yatima na wajane ungekuwa wamaana sana..
 
Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu na kuwekwa hapo kwenye Urais na Mkono wa Mungu Mwenyewe.ndio maana Taifa linaendelea kusonga mbele vyema na watu kuishi wakiwa na matumaini makubwa sana
Usilitaje bure jina la Bwana Mungu.
 
Ifikie hatua watu wenye akili tumwambie tu wewe ni mpumbavu..
Huwezi kujipendekeza kwanamna hiyo.

Hiyo nguvu ungejikita hapo mtaani kuwasaidia watoto yatima na wajane ungekuwa wamaana sana..
Mimi sijipendekezi ndugu yangu mtanzania uliyejaa wivu na chuki binafsi.
 
Kipindi Shetani amekwenda kumpindua Mungu mbinguni unadhani Malaika wote walisema Shetani amekosea?! Wapo malaika wengi tu ambao waliunga mkono shughuli na harakati.
 
Back
Top Bottom