Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matumaini yangu yapo shambani ambako ndiko kazini kwangu na kujipatia ridhiki yanguUnateseka sana kwa kuishi kwa matumaini ya kuteuliwa halafu huteuliwi.
Huwezi ukaelewa kitu kama umejazwa roho ya shetani.Kweli Lucas una tatizo mahali aisee sasa hiyo picha ina mahusiano gani na uraisi ?
Halafu unaandika maneno ya kukufuru Mungu kama Magufuli asingekufa huyo Samia angekuwa raisi?
Mhubiri 9:11
Wewe ni chawa tu unayeishi kwa kutupiwa makombo na kina nyamitakoMatumaini yangu yapo shambani ambako ndiko kazini kwangu na kujipatia ridhiki yangu
Chakula changu kinatokana na juhudi ya mikono yangu kwa kufanya kazi ya kilimo kwa kujituma na kwa bidii.Wewe ni chawa tu unayeishi kwa kutupiwa makombo na kina nyamitako
Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu na kuwekwa hapo kwenye Urais na Mkono wa Mungu Mwenyewe.ndio maana Taifa linaendelea kusonga mbele vyema na watu kuishi wakiwa na matumaini makubwa sanaBahati tu ilimdomdokea hakuwa kwenye maandalio ndio maana anapuyanga na anafanya maamuzi ya hovyo, anauza rasilimali za nchi, anatoa maneno ambayo hayafai mbele ya jumuia za kimataifa.View attachment 3108214
Wewe mwache amchurie tu, Mungu hadhihakiwi kamwe.Kweli Lucas una tatizo mahali aisee sasa hiyo picha ina mahusiano gani na uraisi ?
Halafu unaandika maneno ya kukufuru Mungu kama Magufuli asingekufa huyo Samia angekuwa raisi?
Mhubiri 9:11
Wewe hujitambuagi kabisa.ni 0 kichwani.Wewe mwache amchurie tu, Mungu hadhihakiwi kamwe.
Usilitaje bure jina la Bwana Mungu.Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe aliyeinuliwa kwa Mkono wa Mungu na kuwekwa hapo kwenye Urais na Mkono wa Mungu Mwenyewe.ndio maana Taifa linaendelea kusonga mbele vyema na watu kuishi wakiwa na matumaini makubwa sana
Mimi sijipendekezi ndugu yangu mtanzania uliyejaa wivu na chuki binafsi.Ifikie hatua watu wenye akili tumwambie tu wewe ni mpumbavu..
Huwezi kujipendekeza kwanamna hiyo.
Hiyo nguvu ungejikita hapo mtaani kuwasaidia watoto yatima na wajane ungekuwa wamaana sana..
Wewe una mtindio wa ubongoWewe hujitambuagi kabisa.ni 0 kichwani.
Mama yetu mpendwa ameinuliwa na Mungu Mwenyewe kwa mkono wake.hivyo hawezi kushushwa kwa mkono wa mwanadamu mwenye wivu na chuki binafsiUsilitaje bure jina la Bwana Mungu.
0Wewe una mtindio wa ubongo
Certified zero brain ni yule bwana wako Bashite aka Nyamitako
Labda ameinuliwa na Baali.Mama yetu mpendwa ameinuliwa na Mungu Mwenyewe kwa mkono wake.hivyo hawezi kushushwa kwa mkono wa mwanadamu mwenye wivu na chuki binafsi