The-unknown
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 1,228
- 1,447
Hizo rangi za njano na kijani hapo 70% ni kwa ajili ya maslahi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo rangi za njano na kijani hapo 70% ni kwa ajili ya maslahi tu
Mpuuzi wewe pesa si mnagawiwa nyie machawa hizo elfu saba kuja kumsifu hapa huyo ajuza wa Kizimkazi.Kwani ulishaona hapa jukwaani wanagawa pesa?
Huyu chawa yupo jamaa mmoja jukwaani anamfahamu , anasema alimpambania sana 2022 apate ukarani kwenye sensa ya watu na makazi.Huyu mjinga hata kiswahili hajui
Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa.hakuna anayelipwa pesa kwa ajili ya kuja kuandika makubwa yaliyofanywa naye ndani ya hii Miaka mitatu.ambapo ukaingia ni kama miujiza.huku chama kama CHADEMA pamoja na kupokea Ruzuku ya Billion 2.7 lakini inashindwa hata kujenga ofisi mikoani.Mpuuzi wewe pesa si mnagawiwa nyie machawa kuja kumsifu hapa huyo ajuza wa Kizimkazi.
Unateseka ukiwa wapi huko ndugu yangu? Unafahamu Elimu yangu? Unanifahamu?Huyu chawa yupo jamaa mmoja jukwaani anamfahamu , anasema alimpambania sana 2022 apate ukarani kwenye sensa ya watu na makazi.
Ila alimuangusha sana kutokana na uduni wake kielimu maana ni class 7 dropout .
Sasa mtu kama huyu akipewa 7k kumsifia Makonda , Kafulila , na Samia anaona ndio kapata bingo.
Mimi silipwi kwa ajili ya kuwepo hapa jukwaani.bali huandika kwa hiyari kuwapeni ukweli wa mambo mbalimbali.Ushadaka 20k kale ugali dagaa ushushie na pepsi
Mimi niteseke juu yako chawa?Unateseka ukiwa wapi huko ndugu yangu? Unafahamu Elimu yangu? Unanifahamu?
Ashindwe kwenye kufanya nini? Imeandikwa katika Biblia kuwa kwa kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya Mbingu. Unaifahamu safari ya sana wa Israel? Je nani aliwatoa kutoka Israel? Ni nani aliwafikisha Canaan?Kwahio waliandaa JPM awe one term president na kilichotokea kilipangwa ? Na kama unasema Mungu ndio mpangaji kwahio alipanga Taifa liingie kwenye Majonzi kwanini asingetumia shortcut ya JPM kushindwa kabla ?
Ukiwa unatumia logic kuna vitu utaona kwamba havina mtiririko
Nadhani anamaanisha wote waliopo kwenye picha wameandaliwa kuwa maraisUchawa na unafiki ni kitu Kibaya sanaa. Hamuaminiki nyie watu
Hizo elfu huwa unatoa wewe? Unaweza kuweka ushahidi hapa jukwaani? Au unaongea tu kwa wivu na chuki zako binafsi?Mimi niteseke juu yako chawa?
Wewe ndio unateseka maana umeuza utu wako kwa elfu saba.
Mimi sihitaji kukujua , anayekujua alikuanika humu na hukubisha hivyo jibu unalo .
Mtu asiye na adabu hawezi kuheshimiwa.Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa.hakuna anayelipwa pesa kwa ajili ya kuja kuandika makubwa yaliyofanywa naye ndani ya hii Miaka mitatu.ambapo ukaingia ni kama miujiza.huku chama kama CHADEMA pamoja na kupokea Ruzuku ya Billion 2.7 lakini inashindwa hata kujenga ofisi mikoani.View attachment 3108235
Unafahamu kusoma na kuelewa?Nadhani anamaanisha wote waliopo kwenye picha wameandaliwa kuwa marais
Utaendelea kuteseka nakuumia .lakini Mama ataongoza Taifa letu mpaka achoke Mwenyewe.Maana mwakani Fomu ya Urais ni moja tu kwa ajili yake.Mtu asiye na adabu hawezi kuheshimiwa.
Huyo ndio aliita watu mbwa wapumbavu na yeye akajiita chura kiziwi.
Hastahili kuheshimiwa sababu heshima hailazimishwi bali huja kutokana na matendo yako.
Mimi nichukie watu kupewa $3 /day kumsifia mama Abdul?Hizo elfu huwa unatoa wewe? Unaweza kuweka ushahidi hapa jukwaani? Au unaongea tu kwa wivu na chuki zako binafsi?
Ni upendo walionao watanzania kwa Mama yetu MpendwaHizo rangi za njano na kijani hapo 70% ni kwa ajili ya maslahi tu
Pole sanaUnafahamu kusoma na kuelewa?