Tizama picha hii ili ufahamu kuwa Rais Samia aliandaliwa na hajafika hapo alipo kwa kubahatisha

Tizama picha hii ili ufahamu kuwa Rais Samia aliandaliwa na hajafika hapo alipo kwa kubahatisha

Huyu mjinga hata kiswahili hajui
Huyu chawa yupo jamaa mmoja jukwaani anamfahamu , anasema alimpambania sana 2022 apate ukarani kwenye sensa ya watu na makazi.

Ila alimuangusha sana kutokana na uduni wake kielimu maana ni class 7 dropout .

Sasa mtu kama huyu akipewa 7k kumsifia Makonda , Kafulila , na Samia anaona ndio kapata bingo.
 
Mpuuzi wewe pesa si mnagawiwa nyie machawa kuja kumsifu hapa huyo ajuza wa Kizimkazi.
Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa.hakuna anayelipwa pesa kwa ajili ya kuja kuandika makubwa yaliyofanywa naye ndani ya hii Miaka mitatu.ambapo ukaingia ni kama miujiza.huku chama kama CHADEMA pamoja na kupokea Ruzuku ya Billion 2.7 lakini inashindwa hata kujenga ofisi mikoani.
 
Huyu chawa yupo jamaa mmoja jukwaani anamfahamu , anasema alimpambania sana 2022 apate ukarani kwenye sensa ya watu na makazi.

Ila alimuangusha sana kutokana na uduni wake kielimu maana ni class 7 dropout .

Sasa mtu kama huyu akipewa 7k kumsifia Makonda , Kafulila , na Samia anaona ndio kapata bingo.
Unateseka ukiwa wapi huko ndugu yangu? Unafahamu Elimu yangu? Unanifahamu?
 
Kwahio waliandaa JPM awe one term president na kilichotokea kilipangwa ? Na kama unasema Mungu ndio mpangaji kwahio alipanga Taifa liingie kwenye Majonzi kwanini asingetumia shortcut ya JPM kushindwa kabla ?

Ukiwa unatumia logic kuna vitu utaona kwamba havina mtiririko
 
Unateseka ukiwa wapi huko ndugu yangu? Unafahamu Elimu yangu? Unanifahamu?
Mimi niteseke juu yako chawa?

Wewe ndio unateseka maana umeuza utu wako kwa elfu saba.

Mimi sihitaji kukujua , anayekujua alikuanika humu na hukubisha hivyo jibu unalo .
 
Kwahio waliandaa JPM awe one term president na kilichotokea kilipangwa ? Na kama unasema Mungu ndio mpangaji kwahio alipanga Taifa liingie kwenye Majonzi kwanini asingetumia shortcut ya JPM kushindwa kabla ?

Ukiwa unatumia logic kuna vitu utaona kwamba havina mtiririko
Ashindwe kwenye kufanya nini? Imeandikwa katika Biblia kuwa kwa kila jambo na majira yake na wakati kwa kusudi maalumu chini ya Mbingu. Unaifahamu safari ya sana wa Israel? Je nani aliwatoa kutoka Israel? Ni nani aliwafikisha Canaan?
 
Ata yuda aliandaliwa na akaaminiwa na Yesu ila mwisho wake alichomfanyia kla mtu anajua
 
Mimi niteseke juu yako chawa?

Wewe ndio unateseka maana umeuza utu wako kwa elfu saba.

Mimi sihitaji kukujua , anayekujua alikuanika humu na hukubisha hivyo jibu unalo .
Hizo elfu huwa unatoa wewe? Unaweza kuweka ushahidi hapa jukwaani? Au unaongea tu kwa wivu na chuki zako binafsi?
 
Uwe na adabu kwa Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa.hakuna anayelipwa pesa kwa ajili ya kuja kuandika makubwa yaliyofanywa naye ndani ya hii Miaka mitatu.ambapo ukaingia ni kama miujiza.huku chama kama CHADEMA pamoja na kupokea Ruzuku ya Billion 2.7 lakini inashindwa hata kujenga ofisi mikoani.View attachment 3108235
Mtu asiye na adabu hawezi kuheshimiwa.

Huyo ndio aliita watu mbwa wapumbavu na yeye akajiita chura kiziwi.

Hastahili kuheshimiwa sababu heshima hailazimishwi bali huja kutokana na matendo yako.
 
Mtu asiye na adabu hawezi kuheshimiwa.

Huyo ndio aliita watu mbwa wapumbavu na yeye akajiita chura kiziwi.

Hastahili kuheshimiwa sababu heshima hailazimishwi bali huja kutokana na matendo yako.
Utaendelea kuteseka nakuumia .lakini Mama ataongoza Taifa letu mpaka achoke Mwenyewe.Maana mwakani Fomu ya Urais ni moja tu kwa ajili yake.
 
Hizo elfu huwa unatoa wewe? Unaweza kuweka ushahidi hapa jukwaani? Au unaongea tu kwa wivu na chuki zako binafsi?
Mimi nichukie watu kupewa $3 /day kumsifia mama Abdul?

Ushahidi gani unahitaji , nyie na lile group la Ummy Mwalimu akiwa waziri wa afya kuwalipa watu kusambaza hashtag mlidhani hamjulikani?

Mimi siwezi kuumia ila nakupa ushauri rudi shuleni hujachelewa.
 
Back
Top Bottom