TLS kumsaidia aliyefungwa Miaka 22 kisa nyama ya Swala

Ni sawa, ila hili ni kati ya jambo la kipumbavu kuliko yote, Ametumia sheria halali ya Tanzania kumfunga, swali: baada ya kumsaidia, Je hakuna sababu ya kuangaliwa sheria iliyomfunga?
Kweli. Mbaya zaidi hapa ni sheria iliyotumika kutoa hukumu.

Lakini hakimu/judge wamepewa nafasi ya kutizama vigezo vingi kabla ya kutoa hukumu. Hapa inaonekana hiyo nafasi haikutumika kabisa.
 
Mbona kaeleza kabisa nyama kaitoa kwa nani.......fuatilia vizuri hiyo kesi mkuu, kuna shida sehemu.
 
B

Kama sijaelewa, ndoo moja ya nyama ya swala inathamani ya 900,000/= Mbona hiyo nyama ni agali Sanaa? au wamepiga bei ya kumuua Swala sio bei halisi ya nyama? Nijuavyo laki 9 Ni Ngombe mzima na ushee
 
acha unafiki, hata mnyama aliyeuawa ana haki ya kuishi, tii sheria bila shuruti. Watanzania ni wanafiki sana ndio maana ni ngumu kupiga hatua.
Mbona mbu mnaua kwa kupulizia dawa kwani hao sio viumbe?
 
TiiEloEs hii hii au nyingine? Hawa wasiojua umuhimu wa haki ya kila mwananchi, hawa wenye kutetea chama dhalimu? Au wanatafuta kikiii wananchi waseme tupo pamoja mmmxxxuuuu.
Mawakili binafsi watampa haki ya kweli sio hiki kikundi cha mdundiko jazzy band
 
we zuzu katafute nchi isiyo na sheria. Kenge tu unajifanya una huruma? Mnafiki mkubwa watu km hao wanashirikiana na majambazi, amewezaje kumwua huyo mnyama km kweli ye ni mnyonge? Acheni upuuzi hata huyo mnyama aliyeuliwa ana haki ya kuishi.
Kwa matusi tu hapa JF sidhani kama una mpinzani. Kwani ukitoa hoja yako bila kuporomosha matusi utapungukiwa na nini? Sad!
 
Nyuma ya hiyo kesi naamini kuna mwenye pesa alitaka viwanja vya huyo mama akiamini atauza baada ya hukumu na hakimu alikula rushwa ili amtishe mama ila akakuta mama bora nifungwe kuliko kuuza mali zangu.

Nawaza tu
Kama ulifuatilia hii kesi ...ni kwamba alikuja MTU akamwachia ndoo na kumwambia narudi muda si mrefu ..

Ndipo wakaja polisi na watu wa maliasili wakamkamata huyu mama ...

Tanzania huwa ni mabingwa wa kutengemezeana kesi ..
Na hata utetezi wake alisema hakujua kitu gani kipo ndani ..
 
Mwenyezi Mungu awasaidie na kuwapa wepesi, ningekua na uwezo hakika ningekua miongoni mwao watakao support lakini nawaombea.
Kibatala nasikia kawatafuta ndugu zake ili awasaidie kwenye kukata rufaa lakini inasemekana wamegoma kumpa ushirikiano, waweza kukuta wameingiza siasa mwenzao kapigwa mvua 22
 
Wamlete yule wakili wa kenya lazima atashinda hii kesi ila hawa mawakili wasomi hamna kitu
 
Kwenye hii hukumu sina tatizo na hakimu coz huenda kahukumu kutokana na Sheria. Tatizo ni Kwa waliomkamata walishindwa ht kuwa na roho ya huruma na kumalizana kabla ya kesi kufika mahakamani.
 
Mahakimu wengine vichwa vyao sijui huwa vina stress gani ? Angekua mzazi wangu nisingemruhusu aniite mtoto wake
 
Hakimu kathibitisha kua sheria ni kwa ajili ya makapuku tu. Yule mdogo wake Rosti Tamu alikamatwa na silaha kabisa za kuwindia hayo mazaga lakini kesi yake iliisha kimazabe mazabe
Rosti tamu mwenyewe alisema kuwa mahakama hazina ishu Ni mapambo Mana mtu anapiga simu anasema hukumu hivi Basi kwishnei
 
Wamlete yule wakili wa kenya lazima atashinda hii kesi ila hawa mawakili wasomi hamna kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…