Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] AiseeJitahidi sana uwe unakula na vitamins zote uzipate kwa sababu ile gas inayotengenezwa tumboni ukiwa na njaa ikiingia kwenye ubongo inasababisha ubongo kujikaanga na hatimaye fikra kuungua na kunuka.
Walikua hapo hapo walipo. Hivi kwa akili yako Kama matembele yaliyo chacha unategemea TLS wako kila mahakama nchini? Unadhani wanakula na kulala kwa danga la dada Kama wewe?Walikuwa wapi wakati kesi inaendelea?Ila tunawashukuru kwa kukumbuka wajibu wao kwa jamii.
Angekuwa mwarabu tena angepewa na swala wa kupakia na ndegeAngekua na ndege asingekamatwa
Mpaka sasa taasisi bora ya Taalum Tanzania ni Hii ya wanasheria na mawakiliCHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Kanda ya Iringa wameanzisha kampeni ya kumsaidia kisheria mjane Maria Emirio Ngoda aliyehukumiwa na Mahakama ya Mkoa wa Iringa kifungo cha miaka 22 kwa kosa la kukutwa na ndoo yenye vipande 12 vya nyama ya swala kinyume na sheria.![]()
Hukumu hiyo ilitolewa Novemba 3, mwaka huu na Hakimu Mkazi Mkuu Mkoa wa Iringa, Said Mkasiwa baada ya kujiridhisha pasipo na shaka kuwa ni kweli mjane huyo mwenye watoto wanne alikutwa na ndoo iliyokuwa na nyama hiyo yenye thamani ya Sh 900,000.
![]()
Kwa kupitia taarifa yao waliyoitoa mapema leo, Mwenyekiti wa TLS Kanda ya Iringa, Wakili Moses Ambindwile pamoja na Wakili Cosmas Kishamawe wamesema kwa kushirikiana na mawakili wengine wa mkoani Iringa tayari wameanzisha mchakato wa kumsaidia kisheria mjane huyo.
Mawakili hao wamesema tayari mchakato wa kukata rufaa dhidi ya hukumu ya Mahakama ya Mkoa wa Iringa umeanza rasmi leo asubuhi ikiwa ni muendelezo wa mpango wao wa kutoa msaada wa ushauri na utetezi wa kisheria kwa makundi mbalimbali ya kijamii yasio na uwezo.
Ambindwile alisema tangu waanzishe mpango wa kutoa msaada wa ushauri wa kisheria mkoani Iringa, wameendelea kupokea maombi kutoka kwa makundi ya watu wasio na uwezo kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya mkoa wa Iringa.
“Tuishukuru sana kampuni ya Asas kwa ahadi yake iliyotolewa na mmoja wa wakurugenzi wake, Ahmed Asas kwa kujitokeza kushirikiana nasi ili tuweze kuwafikia watu wengi zaidi wasio na uwezo hususani wale waishio vijijini,” alisema.
😆😆😆Angekuwa mwarabu tena angepewa na swala wa kupakia na ndege
Kwa hio school of law ndio wanafundisha kuwa kina mama hawawezi kuwinda Swala?Hivi uyo mama anaweza kuwinda swala kweli! Uyo hakimu sijui alisoma wapi? Alipita school of law kweli! Maswali ni mengi majibu hakuna
Tunaomba kupata namna ya kutuma fedha Kwa ajili ya kusaidia Huyu mama Watoto wake na kwenye hiyo kesi.CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Kanda ya Iringa wameanzisha kampeni ya kumsaidia kisheria mjane Maria Emirio Ngoda aliyehukumiwa na Mahakama ya Mkoa wa Iringa kifungo cha miaka 22 kwa kosa la kukutwa na ndoo yenye vipande 12 vya nyama ya swala kinyume na sheria.![]()
Hukumu hiyo ilitolewa Novemba 3, mwaka huu na Hakimu Mkazi Mkuu Mkoa wa Iringa, Said Mkasiwa baada ya kujiridhisha pasipo na shaka kuwa ni kweli mjane huyo mwenye watoto wanne alikutwa na ndoo iliyokuwa na nyama hiyo yenye thamani ya Sh 900,000.
![]()
Kwa kupitia taarifa yao waliyoitoa mapema leo, Mwenyekiti wa TLS Kanda ya Iringa, Wakili Moses Ambindwile pamoja na Wakili Cosmas Kishamawe wamesema kwa kushirikiana na mawakili wengine wa mkoani Iringa tayari wameanzisha mchakato wa kumsaidia kisheria mjane huyo.
Mawakili hao wamesema tayari mchakato wa kukata rufaa dhidi ya hukumu ya Mahakama ya Mkoa wa Iringa umeanza rasmi leo asubuhi ikiwa ni muendelezo wa mpango wao wa kutoa msaada wa ushauri na utetezi wa kisheria kwa makundi mbalimbali ya kijamii yasio na uwezo.
Ambindwile alisema tangu waanzishe mpango wa kutoa msaada wa ushauri wa kisheria mkoani Iringa, wameendelea kupokea maombi kutoka kwa makundi ya watu wasio na uwezo kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya mkoa wa Iringa.
“Tuishukuru sana kampuni ya Asas kwa ahadi yake iliyotolewa na mmoja wa wakurugenzi wake, Ahmed Asas kwa kujitokeza kushirikiana nasi ili tuweze kuwafikia watu wengi zaidi wasio na uwezo hususani wale waishio vijijini,” alisema.
Twiga hukunjwa bila hofuAngekua na ndege asingekamatwa
Wa hovyosana lakitisa tu nyundo zote hizo wakati tilion 1.5 ,mtu mmoja anapiga na haguswHuyo hakimu aliyetoa hiyo hukumu kasababisha mahakama ziendelee kuonekana hazitumii weledi na ziko kwa ajili ya maskini tu.Au alimaanisha siku 22 akakosea.maana adhabu gani ambayo haiendani na uhalisia.ata kama nikukomoa uko kumezidi.Afadhali kama kapata msaada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka 22 kwa nyama hata wewe unapaswa kumuonea huruma huyo mama.Watanzania bhana.....tupo so emotional.....ujangili ni mtandao mkubwa sana.......na huwezi kuwatambua Kwa macho majangili.........
Inawezekana ikawa kaonewa au na yeye ni jangili.....ngoja tuone mtifuano wa kisheria baada ya rufaa kukamilika......lakini kuleta emotions kwenye masuala haya ya kihalifu kwani wakati mwingine unaweza kumtetea jambazi Kwa kuwa tu anatia huruma......
Ukigawa unapata kila mnofu mmoja sawa na mwaka mmoja na miezi nane na siku km tatu hiviMakazi mengine tunafanyaga ila ya kingese sana *****.Minofu 12 nyundo 22.
CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS) Kanda ya Iringa wameanzisha kampeni ya kumsaidia kisheria mjane Maria Emirio Ngoda aliyehukumiwa na Mahakama ya Mkoa wa Iringa kifungo cha miaka 22 kwa kosa la kukutwa na ndoo yenye vipande 12 vya nyama ya swala kinyume na sheria.![]()
Hukumu hiyo ilitolewa Novemba 3, mwaka huu na Hakimu Mkazi Mkuu Mkoa wa Iringa, Said Mkasiwa baada ya kujiridhisha pasipo na shaka kuwa ni kweli mjane huyo mwenye watoto wanne alikutwa na ndoo iliyokuwa na nyama hiyo yenye thamani ya Sh 900,000.
![]()
Kwa kupitia taarifa yao waliyoitoa mapema leo, Mwenyekiti wa TLS Kanda ya Iringa, Wakili Moses Ambindwile pamoja na Wakili Cosmas Kishamawe wamesema kwa kushirikiana na mawakili wengine wa mkoani Iringa tayari wameanzisha mchakato wa kumsaidia kisheria mjane huyo.
Mawakili hao wamesema tayari mchakato wa kukata rufaa dhidi ya hukumu ya Mahakama ya Mkoa wa Iringa umeanza rasmi leo asubuhi ikiwa ni muendelezo wa mpango wao wa kutoa msaada wa ushauri na utetezi wa kisheria kwa makundi mbalimbali ya kijamii yasio na uwezo.
Ambindwile alisema tangu waanzishe mpango wa kutoa msaada wa ushauri wa kisheria mkoani Iringa, wameendelea kupokea maombi kutoka kwa makundi ya watu wasio na uwezo kutoka maeneo mbalimbali ndani na nje ya mkoa wa Iringa.
“Tuishukuru sana kampuni ya Asas kwa ahadi yake iliyotolewa na mmoja wa wakurugenzi wake, Ahmed Asas kwa kujitokeza kushirikiana nasi ili tuweze kuwafikia watu wengi zaidi wasio na uwezo hususani wale waishio vijijini,” alisema.
Hii hukumu imenishangaza kweli kweli.
Kuna yule alitoa tangazo humu akatoa siku saba au tatu hakimu akafa aisee. Nilimpenda yule maana hakuna rufaa wala wakili aliyehusika.Huyo Hakim anastahili kurogwa tu.