Hili suala lazima liibue hiisia coz haiwezekani mtu anaitia hasara serikali ya bilioni 71 halafu anapewa hukumu ya miaka minne jela au kulipa faini milioni 7 wakati huo huo huyo mama kakamatwa na vipande vya nyama ya swala anafungwa miaka 22Watanzania bhana.....tupo so emotional.....ujangili ni mtandao mkubwa sana.......na huwezi kuwatambua Kwa macho majangili.........
Inawezekana ikawa kaonewa au na yeye ni jangili.....ngoja tuone mtifuano wa kisheria baada ya rufaa kukamilika......lakini kuleta emotions kwenye masuala haya ya kihalifu kwani wakati mwingine unaweza kumtetea jambazi Kwa kuwa tu anatia huruma......
Sasa hapo chief huoni kuna unafiki mkubwa wa kisheria hapo? Sheria ni msumeno lakini cha ajabu unakata upande wa watu maskini tu! Hilo halikushangazi?
Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app