TLS kumsaidia aliyefungwa Miaka 22 kisa nyama ya Swala

Jitahidi sana uwe unakula na vitamins zote uzipate kwa sababu ile gas inayotengenezwa tumboni ukiwa na njaa ikiingia kwenye ubongo inasababisha ubongo kujikaanga na hatimaye fikra kuungua na kunuka.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Aisee
 
My God! Kumbe ni mjane tena mwenye watoto wa nne?!!

Nilisema toka mwanzo, huyo hakimu ni shetani aliyevaa ngozi ya binadamu.

Wana umri gani hao watoto?!!
 
Nilidhani huyo hakimu wa michongo Ni mwanamke, kumbe Ni mwanaume?
Hebu mtizameni vizuri Kama Ni mwanaume kweli na ndegu anazo.
Angekua Ni mwanamke labda tingesema wanagombea bwana. Sasa .....
 
Walikuwa wapi wakati kesi inaendelea?Ila tunawashukuru kwa kukumbuka wajibu wao kwa jamii.
Walikua hapo hapo walipo. Hivi kwa akili yako Kama matembele yaliyo chacha unategemea TLS wako kila mahakama nchini? Unadhani wanakula na kulala kwa danga la dada Kama wewe?
 
Mpaka sasa taasisi bora ya Taalum Tanzania ni Hii ya wanasheria na mawakili
 
Hivi uyo mama anaweza kuwinda swala kweli! Uyo hakimu sijui alisoma wapi? Alipita school of law kweli! Maswali ni mengi majibu hakuna
Kwa hio school of law ndio wanafundisha kuwa kina mama hawawezi kuwinda Swala?

Mama kakosea kiukweli ila kifungo hakiendani na kosa
 
Watanzania bhana.....tupo so emotional.....ujangili ni mtandao mkubwa sana.......na huwezi kuwatambua Kwa macho majangili.........

Inawezekana ikawa kaonewa au na yeye ni jangili.....ngoja tuone mtifuano wa kisheria baada ya rufaa kukamilika......lakini kuleta emotions kwenye masuala haya ya kihalifu kwani wakati mwingine unaweza kumtetea jambazi Kwa kuwa tu anatia huruma......
 
Tunaomba kupata namna ya kutuma fedha Kwa ajili ya kusaidia Huyu mama Watoto wake na kwenye hiyo kesi.
 
Wa hovyosana lakitisa tu nyundo zote hizo wakati tilion 1.5 ,mtu mmoja anapiga na hagusw
 
Miaka 22 kwa nyama hata wewe unapaswa kumuonea huruma huyo mama.
 
Makazi mengine tunafanyaga ila ya kingese sana *****.Minofu 12 nyundo 22.
Ukigawa unapata kila mnofu mmoja sawa na mwaka mmoja na miezi nane na siku km tatu hivi
 
Reactions: EEX
 

Attachments

  • C4B417E9-BFBF-4FC0-8C56-CDE737D80BA1.jpeg
    110.3 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…