Leo kweli umeongea points za maana. Mwambukusi nae Leo kateleza sana. Soka itabaki soka na siasa zitabaki siasa.Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi
Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.
Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake
Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?
Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii
Mara nyingi tu mashabiki wa Simba na Yanga huandamana uchi na hata wachezaji wao huvuaga Jezi uwanjaniNimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi
Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.
Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake
Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?
Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii
Wewe hukuona kinachozuia CHADEMA wasiandamane? Au unajitoa ufahamu. Serikali imetumia mabavu na fedha nyingi za wananchi kuzima maandamano ambayo ni haki kikatiba na kisheria. Nimeshuhudia maandamano makubwa ya hizi timu mbili na uharibifu mkubwa ukitokea lakini serikali na jeshi letu limekaa kimya. IPO SIKU!Nani kawazuio kuimarisha SACCOSS yenu ya Chadema?
Watu kama wewe ndio walikuwa.wanagombea na Mwabukusi wakashindwa.TLS sio chama cha siasa kuanza kusimanga watu!
Bro kinachopiganiwa hapa ni kikubwa kuliko hata huo mpira Amani ikikosekana kwa watu kuendelea kupotea na kuuawa huo mpira hautakuwa na maana …Sema wa Tanzania tuna ugonjwa wa Afya ya Akili Kwene mambo ya Maana tunakua nyuma nyuma Maandamano ya aman kupinga mauaji ila wa Tanzania tulivo wapumbavu et tunaogopa kuchafua aman sasa amani gani inayoruhusu mauaji na utekaji hii nchi ukiachana na uongozi kuendesha hata raia tuna percent kubwa ya kuiongoza sbb kuna wakat nchi inakua na viongozoli wenye akili zinazofanana wanaongoza kwa maslahi yao tu …mwananchi ukiumia njia pekee ya kuleta mapinduzi au kufikisha ujumbe ni kwa njia ya maandamano ila sbb sisi ni kama mazuzu mtu ana mmaindi Mwabukusi et kisa Kawasema vibaya Simba na yanga ila haoni kama kuna point ya maandamano Wachungaji, Mashehe, Mapadri wakat wa mabubiri hutumia kauli hii “Uwanjani goal la simba au Yanga likiingia mnapiga sana makofi na kuruka kuruka ila nyumba za ibada hamfanyi hivyo” nao hawa waziombe msamaha club? hata mzazi kuna wakati anakukataza usiangalie mpira uingie chumbani kwako ukasome nae au ukafanye kazi ni mjinga …Kutawaliwa upya muhimu sana sbb sisi ni mazuzu sanaNimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi
Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.
Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake
Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?
Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii
Ha ha ha ha we ulikuwa wapi mkuu ktk maandamano kuonesha hujamsalit MBOWE na chadema yake?Kasema ukweli kabisa kuwa watanzania wanapenda sana Simba na yanga lakini hawapendi kuchukua hatua pale haki zao zinapokiukwa na hii serikali ovu ya mama Yao wanayemwita hangaya.mfano kwenye maandamano wamewasaliti wazalendo wa chadema waliotaka watanzania wote wapate haki sawa na kuyamaliza mambo ya kutekwa hadharani yanayofanywa na chiefu hangaya.Ingekuwa ni Simba na yanga wangejaa uwanja mzima.
Ni ukweli wala hakuna haja kuomba msamaha. Watu wameacha kufuatilia kuhusu mambo ya msingi ya maisha yao wanafuatilia mpira na usanii. Watawala nao wamegundua kuwa washabikia huko hawana muda wa kuhoji kinachoendelea kwenye matumizi ya Kodi zao kwa maendeleo ya Nchi na huduma kwa wananchi.Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi
Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.
Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake
Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?
Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii
Ww usiye kuwa mjinga ulijitokeza kwenye maandamano ?pongezi kwa Mwambukusi kuusema UKWELI MCHUNGU ambao baadhi ya wapenda mpira(wajinga) hawapendi kuusikia.
Ww unaye zingatia mambo ya msingi kwenye maandamano ulikuwepo ili kudai hizo haki?Kasema ukweli kabisa kuwa watanzania wanapenda sana Simba na yanga lakini hawapendi kuchukua hatua pale haki zao zinapokiukwa na hii serikali ovu ya mama Yao wanayemwita hangaya.mfano kwenye maandamano wamewasaliti wazalendo wa chadema waliotaka watanzania wote wapate haki sawa na kuyamaliza mambo ya kutekwa hadharani yanayofanywa na chiefu hangaya.Ingekuwa ni Simba na yanga wangejaa uwanja mzima.
Ulevi wa madaraka na ulimbukeni. Utadhani yeye ndiye rais wa TLS wa kwanza na wa mwishoNimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi
Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.
Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake
Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?
Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii
Jamaa amejichanganya sana.Nimeona Rais wa TLS akiwa anahojiwa na chombo cha habari akiwatusi watanzania kwamba wanafuata mambo ya hovyo na yasiyo ya maana, na akatoa mfano wa watanzania kuwa na mapenzi na simba na yanga kiasi kwamba wanaweza kutembea uchi
Hii ni dharau kubwa kwa klabu hizo ambazo zimejijenga kwa miaka mingi katika mioyo ya watanzania. Kama wao wanathamini demokrasia, kwa nini wanadharau machaguo ya watanzania na kuwapangia maisha?.
Pia mashabiki wa timu hizo ni watu wazima kiumri, kusema kwamba wanaweza kutembea uchi ni dharau kubwa nyingine kwa watu wa umri wa wazazi wake
Nani kawazuio wasiimarishe vyama vyao ili wananchi wavipende? Yaani watu hata harusini, mpirani, disco wasiende?
Nalaani sana kauli ya TLS kwa kuwa iko chini ya kiwango na inapaswa kulaaniwa na kila mzalendo, mwanamichezo wa nchi hii
Daa; uzi unahusu TLS, wewe umeingiza masuala ya Chadema tena. Halafu lini Chadema walituomba Watanzania tuandamane kwasababu ya matatizo yao? Hivi watu kutekwa, kuuawa ni matatizo ya Chadema? Halafu bado tunamsema Mwambukusi anatutukana? Kwa maandishi haya, Mwambukusi anakua kakosea wapi?Hakuna mwenye akili timamu atakayekubaliana na binaadamu kumteka mwenzie na kumtesa au kumuua lakini bado havizuii watu kuendelea na wanavyovipenda. Tatizo la Chadema ni kutaka kutuaminisha watanzania kuwa matatizo yao ni matatizo yetu.
Sasa Wacha tujiulize sisi wengine tumepumbazwa.. huyo rais wenu wa TLS mbona hatukumuona magomeni pale? Na nyinyi humu madomo kaya wa Jamii Forums mbona hatukuwaona? Kwanza kabla ya kuwadhihaki wananchi wa kawaida jiangalieni nyinyinajiita waelewa na wajuaji mbona mmeishia kuwa keyboard worrier hapa JFKasema kweli ndiyo zinatumika kupumbaza watu wanakuwa wajinga