TLS Yalaani Vikali Udhalilishaji na Ukatili wa Kijinsia wa Binti kutoka Yombo Dovya, Dar es Salaam

Hao wahalifu wakipelekwa mahakamani, Kibatala lazima atakwenda kuwatetea,kuna mawakili wengine wao wanaangalia mshiko tu hata huruma hawana,yaani wao wanajisikia rahaa kutetea wahalifu huko mahakamani kisa pesa!!
 
Tanzania hatujafikia huko,lazima tulaani hata kama ni video ya hiari hayo sio maadili yetu
 
Mimi nilivyosikia tu mtoto mmoja wa ndugu yangu mmoja wa mbali katakiwa pesa Ili aingie jeshini na aliyemuambia hivyo ni polisi tena yeye aliingia na almost milioni mbili kasoro nikaona kabisa hapa hatuna wanajeshi tena, si JWTZ, PT na wengineo almost ni watu wasiojitambua vizuri, sitashangaa kama nchi tukifeli vibaya kiusalama, kiuwajibikaji baada ya miaka Ishirini ijayo maana wazee wa connection ndiyo watakuwa wapo kwenye vyeo vya juu.

Ipo haja ya viongozi wa jeshi wa Sasa hivi kufanya namna ya kutibu hili tatizo, tunajua na nyinyi mna maslahi yenu lakini sio Kwa hichi kinachoendelea, yaani mtu wa usalama ndo wa kufanya mambo kama hayo kweli?.
 
Video hii imesikitisha watu wengi sana, narudia tena kama wale vijana ni wanajeshi kweli basi CDF aangalie sana nidhamu za vijana wake.

Kama kweli ni wajeda wale unaanzaje kuwapeleka front line askari wasio na discipline?
Kuna shida kwa wanajeshi wengi kujiona wako juu ya sheria na kufanya lolote lile.
Jeshi la polisi limepewe mamlaka Kwa kushirikiana na MP's kudeal na askari wote wasio na nidhamu uraiani kuu.
 
Ugreat sinker ukizidi bna.

Sio kila jambo lazima uwe tofauti na wengi ndo uonekane umewaza nje ya box.
Video umeiona??

Sheria inasemaje kuhusu ngono za namna ile??
Kwa hali ilivyo pale ni sahihi hao vijana wa JW kufanya walichofanya??

Hata ikiwa ni maigizo still bado sio sahihi, hukumu za watu unazoziita za kihisia bado ziko sahihi vijana ni wa hovyo.
 
Swali kwako, wewe umethibitisha vipi kwamba binti amelazimishwa?

Vipi kwa mfano mahakama ikaja kusema labda hakubakwa, yalikua makubaliano yao wenyewe, (sisemi kwamba hawatahukumiwa kwa makosa mengine mf kujirekodi), ila kosa mama linalowafanya mshipaze shingo. Ikaonekana jamaa hawana hatia itakuaje?

Kwa hiyo kuliko kupiga makelele ni bora tukae kimya tuvipe muda vyombo vyetu vya usalama vichunguze, halafu majibu yakija ndio tuchague kushupaza shingo au
 
Ndio maana nikakuuliza video umeiona??
Yaani hata kutoa maoni yangu kwa kile nilichoona unaona sio sawa, kwanini??

Maoni yetu hapa jf hayatumiki kama ushahidi mahakamani, wewe andika kile umeona, umehisi au kile unaona ni sahihi kwako, hukatazwi na mtu yeyote ndgu na wala sio tatizo.
 
Ndio kalazishwa na ndioo maana mwisho wakamwambia aombe msamaha Kwa mwenye mume wake aliyetembea nae.
 
Na ndio nilikua naandika kile ninachoona ni sahihi kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…