TMA: Hatujawahi kusema kuna Mvua za El-nino, wanaosema hivyo Wanapotosha

Tuseme ameruka kesi.
 
Hapa Mpaka Sasa Kuna Kesi Ya Kujibu
Serikali Imeingia Hatiani Hasa Upotoshaji Mkubwa Na Kuleta Taharuki Kwa Wananchi
TMA Inajinasua Taratibu Kuwa Haikusema Lolote
 
Asa kwanini shule zimefungwa mapema kama el nino ni joto inamaana wizara ya elimu hawajui aina za el nino kweli hii tanganyika
Nchi hiî tumegeuzwa kuwa wajinga,hatuna akili ni mazombi na hatujui lugha.el nino ni badiliko la hali ya hewa na si mvua nyingi.tanganyika amka tunalizwa na wajinga.
 
Hivi mna uhakika kuwa hii nchi siyo channel ya vikatuni huko kwenye nchi zilizoendelea? ... kwamba wakitaka kucheka, wanaiangalia Tanzania .🤔
Semeni channeli ya vikatuni wakati pesa inaliwa kizembe tu na sisi tuko kimyaaaa
 
Nchi hiî tumegeuzwa kuwa wajinga,hatuna akili ni mazombi na hatujui lugha.el nino ni badiliko la hali ya hewa na si mvua nyingi.tanganyika amka tunalizwa na wajinga.
Jenga hoja kuwa imekuaje Shule zifungwe mapema kwa ajili ya Elnino ya ongezeko la joto ?
 
Na ile budget iliyotengwa kwa ajili ya kujihami na mvua za El-Nino ndiyo basi tena...
Inasikitisha sana...


Cc: Mahondaw
 
Dr. Chang'a udanganya umma na unapaswa kufutwa kazi maana Serikali ilifunga shule za misingi na kutoa pesa bilioni 739 kupambana na mvua za el nino.
 
Mpaka serikali ikatenga 700bn za kujikinga na kupambaza na madhara ya el Nino haikuwaelewa TMA?

Mpaka mitaro ikazibuliwq nchi nzima ilizibuliwa ili joto (analosema ndilo TMA ilisema litaongezeka) lipite vizuri kwenye mitaro? Loh!
 
Watu wanaingia gharama kuwekeza kwenye taaluma na teknolojia ya hali ya juu nyinyi mnamuachia Kaka Kuona.

Tumeiona Elninho yenye nguvu kali sana
 
Wananchi wanapaswa kueleweshwa nini?
Serikali ilipaswa kuwaelewesha wananchi kuwa El nino n nn na namna gani Mvua za vuli zitaathiriwa na hiyo Hali ya El nino. Ilibidi kuwa na coordination nzuri kuanzia wizarani Hadi chini
Wizara ya elimu ni serekali hiyo, kwanini hao TMA hawakuwafuata na kuwaelisha kuwa Elinino sio mvua tu, hadi wakabadili ratiba za mitihani, na kufunga shule kuhofua mvua ya elinino.
TMA sio wajinga, kama utakuwa ni mfuatiliaji mzuri TMA walijitahidi Kwa kiasi chake kutoa Elimu Kwa serikali nzima Hadi Ofisi za wakuu wa mikoa na wilaya, Tatizo linakuja ni akili kisoda za watz, Elimu Ya TMA iliishia Tu ofisini basi, Huko chini yamebaki matamko yanayojichanganya.
Acha jazba na kucheza naaneno.
Ukiwa biased Kila mara huwezi kuona kitu, wa kulaumiwa sio TMA Bali ni wale watunga Sheria na Sera kule juu.
 
Na ile budget iliyotengwa kwa ajili ya kujihami na mvua za El-Nino ndiyo basi tena...
Inasikitisha sana...


Cc: Mahondaw
Kwanini ujali na wewe kwenu wote mko well off kwenye affluent heavily gated neighborhood? Hata ikija mnakuwa barricaded inside mboga saba plenty of drinks snacks maids big standby generator. Watakaoathirika ni kina adriz huko yombo na kiwalani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…