Sasa mamalaka si ilitakiwa kulitolea ufafanuzi hili jambo ? Maana wao ndo wahusikaNi mabadiliko tu ya hali ya hewa tu, mvua ilichelewa kuanza hivo inachelewa kwisha
Watatolea mkuu bado ni baadhi ya maeneo sio pote penye mvuaSasa mamalaka si ilitakiwa kulitolea ufafanuzi hili jambo ? Maana wao ndo wahusika
Msanii! Wewe sasa unawalaumu nini hao kwani Jukumu lao ni kuzuia au kuleta mvua! Wao jukumu Lao ni kubashiri tuu wala si vinginevyo! Au unataka wafanye nini ndugu yangu msanii! Upumbafu wako wa kujenga mabondeni utakutokea puani na bado mvua zitakuja nyingi hadi uhame!Wananzengo mmeamkaje leo?
Kuanzia wiki ya mwisho ya mwezi Mei hadi kuingia Juni 2023 hali ya hewa imekuwa ya mvua na hatujui hizi ni mvua gani.
Msimu wa Mei kuelejea Julai huwa ni aghalabu kuwa na mvua kwani mazao yanakuwa yanakaribia kuvunwa.
Lekini ukimya wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) inaleta mashaka kidogo. Je hizi mvua zinazonyesha ni za msimu gani haswa?
Yaani sihami hata mroge vipiMsanii! Wewe sasa unawalaumu nini hao kwani Jukumu lao ni kuzuia au kuleta mvua! Wao jukumu Lao ni kubashiri tuu wala si vinginevyo! Au unataka wafanye nini ndugu yangu msanii! Upumbafu wako wa kujenga mabondeni utakutokea puani na bado mvua zitakuja nyingi hadi uhame!
Wao ndio wahusika wa mvua au wahusika wa hako Ka taasisi kao cha kubet πππSasa mamalaka si ilitakiwa kulitolea ufafanuzi hili jambo ? Maana wao ndo wahusika