Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amejaa kama woteHivi Mama Kijazi Bado yupo??
Walimuomba JeiKei awapatie mtambo wa kisasa na wakapewa.Hao Jamaa Mpaka waone Wingu Jeusi ndiyo wanaleta utabiri wa kuwa na mvua lakini kukiwa kweupe kama jana wasingeweza kujua kwamba leo kutakuwa na mvua.
Mvua ya mungu,au na wewe ni wale miongoni wa wasioamini katika uwepo wa mungu alie mmoja??Wanatufelisha wakulima
Hujui lolote kaa kimya otherwise uwe umewahi kuingia TMA Hapo ubungo ukaziona hizo models.... forecasting inahusisha kubadilisha data kila baada ya dakika tano. Hub kubwa east Africa iko Nairobi kubwa UK....na mule ndani Wana apply pure physics...ni kazi kubwa saa Saba mchana Kuna kurepresent...kule hukai ukianza kazi unapigwa shule nje ya nchi fasta ukirudi unakaa kidogo unaenda Tena nje kusoma...wasio na master degree pale labda wa kitengo Cha archive na data entry...mkuu usichukulie poa fani za watu...Mitambo yenyewe wanayo sasa, kazi ku-copy na ku-paste. Bongo hakuna utabiri bali ni matangazo ya hali ya hewa.
😀😀😀Mitambo imeshindwa kuelewa nini kinaendelea
Hao Jamaa Mpaka waone Wingu Jeusi ndiyo wanaleta utabiri wa kuwa na mvua lakini kukiwa kweupe kama jana wasingeweza kujua kwamba leo kutakuwa na mvua.
hapo nilipoweka bold na italics ilitakiwa isome 'si aghalabu' = nadra kutokea au haitokei mara kwa maraMsimu wa Mei kuelejea Julai huwa ni aghalabu kuwa na mvua kwani mazao yanakuwa yanakaribia kuvunwa.
Unaufurahia ujinga wake... forecasting haifanywi kwa mitambo Bali kwa models.[emoji3][emoji3][emoji3]
AlishastaafuHivi Mama Kijazi Bado yupo??
Hizi ni mvua za Makolo FCAkina Kulwa Jilala hawaelewi athari za kukata miti mamilioni Kwa mamilioni, hizi Sasa ndio athari zake, mvua inanyesha kipindi kisichotarajiwa au hainyeshi kabisa.
Lakini seems hawaitendei haki taaluma yao.Hujui lolote kaa kimya otherwise uwe umewahi kuingia TMA Hapo ubungo ukaziona hizo models.... forecasting inahusisha kubadilisha data kila baada ya dakika tano. Hub kubwa east Africa iko Nairobi....na mule ndani Wana apply pure physics...ni kazi kubwa saa Saba mchana Kuna kurepresent...kule hukai ukianza kazi unapigwa shule nje ya nchi fasta ukirudi unakaa kidogo unaenda Tena nje kusoma...wasio na master degree pale labda wa kitengo Cha archive...mkuu usichukulie poa fani za watu...
Models ni Nini
1.picha za satetile za mawingu
2.atmosperic pressure
3.wind direction ya dunia nzima
Na zinachorwa kwenye karatasi kubwa sana
Ha haaaaMitambo imeshindwa kuelewa nini kinaendelea