Sawa, hao wanaojua mbona hawatupi mrejesho hizi mvua zinatokea wapi, zinaenda wap? Hayo mambo ya masters sio hoja now day's wangapi wamesoma na wanashindwa kulisaidia Taifa kujikwamua kutoka kwenye umaskini......Fanya changes kwanza watu waone impact then appreciation hitakuja tu, lakini wasomi wa Tz wanataka kuheshimiwa huku hakuna chochote walichokifanya kuleta mabadiliko kwenye jamii husika ya Taifa lao.
1. Hayo mambo ya Atmospheric Pressure yanakuwa measured through Barometer Equipment (Maelekezo yamejaa kila sehemu kwanzia kwenye website mpaka youtube) easy - usitake kufanya mambo kuwa magumu mzee.
2. Wind direction - Wind Vane "Easy tu" simple tasks.
3. Satellite Image, tusidanganyane bongo hapa hatuna satellite yetu - kwenye hili tunatoa kutoka kwa Wenzetu.
Tena siku hizi hayo mambo ya Weather prediction and Forecast ni mwendo wa "Automation" tu through the use of AI inakupa data zote kwanzia kwenye thunderstorm prediction,snowfalls, rainfall, frog and mist formation, sundays, clouds formation and prediction, wind speed and direction na mengineyo.
Tuache kudanganyana mzee, hakuna ugumu wowote kwa dunia ya sasa ya science and technology................Kila kitu kipo kwenye vidole vyako, simu yako tu within a minutes inakupa utabiri wa hali ya hewa ya sehemu uliyopo.