TMA mbona mpo kimya kwa hizi mvua za June?

Miti imekatwa hovyo hovyo.. mnategemea nini zaidi ya mabadiliko ya tabia nchi.. na bado[emoji848]
 
Lakini seems hawaitendei haki taaluma yao.
Wapo soo primitive
Mkuu niamini mimi wanajitahidi sana kwa zaidi ya 80% ya tabiri ni za kweli




Changamoto ni umaskini wa nchi hata kushindwa ku meet WMO Standards

Kwa mfano kila kilometer 10 kuwe na weather station sisi bado hatuwezi hio ndo maana missing data zinakuwepo kazi inakuwa ngumu
 
Licha ya hivo mkuu kwa standard za WMO tulipaswa tuwe na angalau weather Station walau kwa range ya km 10 je tuna uwezo huo gharama za uendeshaji malipo ya wasomaji na hata vikiwa vya automatic tuna pesa??maana tukiwa na everage nzuri ya parameter ndo tabiri nzuri. Sisi sio [emoji636]
 
Acha tuendelee na ramli chonganishi, maana hata dola zimeadimika.
 
Sasa kosa Lao n n lipi wao n watabir tu kwa mkulima mzoefu ataelewa tu mvua ilichelewa kuanza kwahiyo itachelewa kuisha
 
Walitabiri mvua zitakua hafifu hadi wastani.

Zenyewe zimepitiliza, sasa wanakosa pa kuanzia.
 
Upo busy na kubet na kusikiliza singeli...
TMA walishatoa angalizo ya mvua za Elnino..punguza kusikiliza vipindi vya udaku ama vya michezo.
 
Upo busy na kubet na kusikiliza singeli...
TMA walishatoa angalizo ya mvua za Elnino..punguza kusikiliza vipindi vya udaku ama vya michezo.
Mzee wa kupiga ramli nakuona unajaribu kutabiri routines zangu
 
walishatoa utabiri mapema April kua Mwishoni mwa mwezi May kutakua na mvua za Elminyo
 
Hao nao huwa wana Bashiri xo wakati mwingine mkeka huchanika maana kuna wakati pia husema mvua zitanyesha na zisi nyeshe .... tuvumilie tu
 
Walishasema zitakwenda mpaka June kutokana na mabadiliko ya tabia nchi, ila nilidhani wasiisingizie nchi wangesema mabadiliko ya tabia watu
 
Mzee wa kupiga ramli nakuona unajaribu kutabiri routines zangu
Kuna mambo mengine haupaswi kuuliza ni kiasi cha kukaa chini na kujiuliza haya mabadiliko yanaletwa na nini, kisha unaenda kwenye tovuti ya TMA wanakujulisha. Vijana wengi hasa wewe ni wazembe sana.
 
Uchawi wa Yanga huu kuwakomoa Simba baada ya wao kuwaletea mvua Kwenye finally sasa na wao wameamua kuiendeleza km mbwaimbwai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…