Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Akina Kulwa Jilala hawaelewi athari za kukata miti mamilioni Kwa mamilioni, hizi Sasa ndio athari zake, mvua inanyesha kipindi kisichotarajiwa au hainyeshi kabisa.
Hujui lolote kaa kimya otherwise uwe umewahi kuingia TMA Hapo ubungo ukaziona hizo models.... forecasting inahusisha kubadilisha data kila baada ya dakika tano. Hub kubwa east Africa iko Nairobi kubwa UK....na mule ndani Wana apply pure physics...ni kazi kubwa saa Saba mchana Kuna kurepresent...kule hukai ukianza kazi unapigwa shule nje ya nchi fasta ukirudi unakaa kidogo unaenda Tena nje kusoma...wasio na master degree pale labda wa kitengo Cha archive na data entry...mkuu usichukulie poa fani za watu...
Models ni Nini
1.picha za satetile za mawingu
2.atmosperic pressure
3.wind direction ya dunia nzima na speed yake na perameters nyingine
Na zinachorwa kwenye karatasi kubwa sana kwa penseli
Walitabiri tangu awali: Swali ndiyo hizi???? Hapa ni ufafanuzi unahitajika zaidi.Wananzengo mmeamkaje leo?
Kuanzia wiki ya mwisho ya mwezi Mei hadi kuingia Juni 2023 hali ya hewa imekuwa ya mvua na hatujui hizi ni mvua gani.
Msimu wa Mei kuelejea Julai huwa ni aghalabu kuwa na mvua kwani mazao yanakuwa yanakaribia kuvunwa.
Lekini ukimya wa Mamlaka ya Hali ya Hewa (TMA) inaleta mashaka kidogo. Je hizi mvua zinazonyesha ni za msimu gani haswa?
Mkuu inatosha, usisababishe mtu kujirusha ghorofani bureeSawa, hao wanaojua mbona hawatupi mrejesho hizi mvua zinatokea wapi, zinaenda wap? Hayo mambo ya masters sio hoja now day's wangapi wamesoma na wanashindwa kulisaidia Taifa kujikwamua kutoka kwenye umaskini......Fanya changes kwanza watu waone impact then appreciation hitakuja tu, lakini wasomi wa Tz wanataka kuheshimiwa huku hakuna chochote walichokifanya kuleta mabadiliko kwenye jamii husika ya Taifa lao.
1. Hayo mambo ya Atmospheric Pressure yanakuwa measured through Barometer Equipment (Maelekezo yamejaa kila sehemu kwanzia kwenye website mpaka youtube) easy - usitake kufanya mambo kuwa magumu mzee.
2. Wind direction - Wind Vane "Easy tu" simple tasks.
3. Satellite Image, tusidanganyane bongo hapa hatuna satellite yetu - kwenye hili tunatoa kutoka kwa Wenzetu.
Tena siku hizi hayo mambo ya Weather prediction and Forecast ni mwendo wa "Automation" tu through the use of AI inakupa data zote kwanzia kwenye thunderstorm prediction,snowfalls, rainfall, frog and mist formation, sundays, clouds formation and prediction, wind speed and direction na mengineyo.
Tuache kudanganyana mzee, hakuna ugumu wowote kwa dunia ya sasa ya science and technology................Kila kitu kipo kwenye vidole vyako, simu yako tu within a minutes inakupa utabiri wa hali ya hewa ya sehemu uliyopo.
Kumbe?? Ndio maanaAlishastaafu
Tunajua umesoma maji, acha kuunga unga na kidiploma chako uchwaraHujui lolote kaa kimya otherwise uwe umewahi kuingia TMA Hapo ubungo ukaziona hizo models.... forecasting inahusisha kubadilisha data kila baada ya dakika tano. Hub kubwa east Africa iko Nairobi kubwa UK....na mule ndani Wana apply pure physics...ni kazi kubwa saa Saba mchana Kuna kurepresent...kule hukai ukianza kazi unapigwa shule nje ya nchi fasta ukirudi unakaa kidogo unaenda Tena nje kusoma...wasio na master degree pale labda wa kitengo Cha archive na data entry...mkuu usichukulie poa fani za watu...
Models ni Nini
1.picha za satetile za mawingu
2.atmosperic pressure
3.wind direction ya dunia nzima na speed yake na perameters nyingine
Na zinachorwa kwenye karatasi kubwa sana kwa penseli