TMA mna lengo gani na Watanzania mpaka kuificha habari hii muhimu iliyotangazwa na DW ya Ujerumani?

Hii post yako ingekuwa ni Bidhaa na inauzwa Bei ghali ningeenda hata Kukopa ili ninunue kwani Umeandika vyema, Kiakili ( kama Great Thinker ) na ni Ukweli mtupu. Nakuunga mkono 100% Mkuu. Heko mno Kwako.
 
Wajasiriamali wenzangu ni kwa namna gani tunaweza kugeuza ukame huo kuwa fursa tukapiga hela??
Zipo namna nyingi za kuwageuza mapimbi hawa, matatizo yao kuwa fursa,

yaan mahitaji yao kwetu ni mtaji na utajiri, kama wale jamaa wa viwanda vya A.R.V na condoms wanavyofaidi matunda ya Uzinzi na magonjwa ya uongo basi hata sisi tufaidi utajiri kwa kuwekeza kwenye kilimo cha umwagilliaj, umwagiliaj kutoka ktk visima na nishati ya bure kutoka kwa jua&upepo,

tujenge visima vingi na tuwauzie maji kwa bei kubwa, pia tuwauzie mazao kwa bei umiza mpka wapate akili will be too late[emoji23][emoji23]
 
Hii post yako ingekuwa ni Bidhaa na inauzwa Bei ghali ningeenda hata Kukopa ili ninunue kwani Umeandika vyema, Kiakili ( kama Great Thinker ) na ni Ukweli mtupu. Nakuunga mkono 100% Mkuu. Heko mno Kwako.
Shukrani mkuu, lkn hawayatendei haki, tusubiri yatukute labda watachange
 
Nadhani Bado hujataka kujishughulisha na ulichosikia,Ngoja nikuambie kwenye satellite kuanzia Ethiopia,Eritia,Somalia,Kenya,South Sudan,Uganda Tanzania kote huonekana ni East Africa lakini katika nchi Zina Hali ya hewa tofauti kabisa.Uganda karibia mwaka mzima Wana mvua,Kenya Upande wa kasikazini ni kukame sana,Tanzania nayo Ina Hali ya hewa tofauti tofauti ukanda wa pwani,Nyanda za Juu kusini,Kanda ya ziwa nk.Hivyo hao DW wanatazama kwa ujumla lakini Kila nchi Ina mifumo yake kuidharau TMA pamoja na usahihi wa 80+ ni kukosa heshima ya taaluma.Kwa TMA walishatoa taarifa ambavyo sidhaji kama Kuna kitu wanaficha.Ukweli ni kuwa tumeharibu misitu sana na tunahitaji nguvu ya pamoja kurudisha uoto.
 
Nawaamini Wazungu hao DW ya Ujerumani na siyo Wewe Mswahili mla Makande yaliyochacha sawa?
 
Tumlaani Jon p aliyekatamitihovyoo huyukatuleteajangakubwa
 
Huku kanda ya ziwa ni wiki sasa mvua zinanyesha mpaka kero.
 
Huna Waziri katika hiyo Wizara bali una Msanii na Mnafiki tupu kama aliyeko Wizara ya Maji anayetutambia Wake zake Wawili wakati Watanzania hawana Maji.
Hujawahi kuniangusha katika maandiko yako. Tutakuja kujua Bashe ni boya watu wakiwa wamekufa.
 
Anza Kutengeneza sana Majeneza kwani ni lazima tu huu Ukame utaondoka mazima na Watanzania 30,000,000 kati ya wale 61,741,120 aliowataja Rais Samia hivi Karibuni. Utapiga mno Hela hivyo Kazi Kwako sasa nimeshakupa idea Kuntu kabisa hiyo.
Uwe Makini isije ukaanza wewe na majeneza yako ukayaacha🏃🏃
 
Watoto wadogo hawajamkosea
Mkuu hali ni mbaya na nawaombeni Watanzania wote tuachane Utani hebu upesi sana tuanze kuchukua Tahadhari juu ya hili na ikiwezekana tuanze Kumuomba mno Mwenyezi Mungu kwani nahisi kuna mahala tumemkosea hivyo amekasirika nasi.
 
Mkuu hali ni mbaya na nawaombeni Watanzania wote tuachane Utani hebu upesi sana tuanze kuchukua Tahadhari juu ya hili na ikiwezekana tuanze Kumuomba mno Mwenyezi Mungu kwani nahisi kuna mahala tumemkosea hivyo amekasirika nasi.
Damu isiyo na hatia imemwagika kinachofuata utawala wa shetani 100% tuombe Sana
 
Duh! Tuanza maombi wa ndugu kama zile enzi za mwendazake tulipiga sala corona hakutupata, ikatokea tena janga laukame tukapiga tena sala ikanya booooonge la mvua mpaka mafuriko 1. Sala 2. Sala 3. Sala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi ni matomaso hatuamini mpaka tushuhudie ndilo linalo tuponza na ndilo linalo turudisha nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kumpangia
Mungu
 
Nawaamini Wazungu hao DW ya Ujerumani na siyo Wewe Mswahili mla Makande yaliyochacha sawa?
Kwa sababu hutaki kuchangamsha akili yako tu.Hakuna anayekataa kuwa kutokana mabadiliko ya Tabia nchi imeathiri muda na wastani wa mvua zilizozoeleka lakini TMA wametoa projection kitu ambacho ni suala kuona kama ni kweli au uwongo.Hivyo wewe kuja na story zako za DW na kutukana TMA wakati hata muda haujafika ni uchuro.
 
Itakuwa mateso kwa nchi ya Tanzania ambayo viongozi wake huchukua hatua na kukurupuka kwenye maamuzi pindi majanga yanapotokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…