Nadhani Bado hujataka kujishughulisha na ulichosikia,Ngoja nikuambie kwenye satellite kuanzia Ethiopia,Eritia,Somalia,Kenya,South Sudan,Uganda Tanzania kote huonekana ni East Africa lakini katika nchi Zina Hali ya hewa tofauti kabisa.Uganda karibia mwaka mzima Wana mvua,Kenya Upande wa kasikazini ni kukame sana,Tanzania nayo Ina Hali ya hewa tofauti tofauti ukanda wa pwani,Nyanda za Juu kusini,Kanda ya ziwa nk.Hivyo hao DW wanatazama kwa ujumla lakini Kila nchi Ina mifumo yake kuidharau TMA pamoja na usahihi wa 80+ ni kukosa heshima ya taaluma.Kwa TMA walishatoa taarifa ambavyo sidhaji kama Kuna kitu wanaficha.Ukweli ni kuwa tumeharibu misitu sana na tunahitaji nguvu ya pamoja kurudisha uoto.