TMA mna lengo gani na Watanzania mpaka kuificha habari hii muhimu iliyotangazwa na DW ya Ujerumani?

Watafanya nini sasa wakat miaka yote wanacare maisha yao tu.

Nilishawai sema, kwa nchi kama za East afrika kulia lia kisa ukame na kukosa vyakula huo ni upumbavu, serikali ije mitaani kuna watu tuna akili za kuisaidia nchi isipate majanga kwa kutumia akili timamu inayopaswa kutumiwa na hawa viongozi USELESS, tatzo ni kwamba tunaongozwa na watu waliotakiwa kuongozwa.

Kwa namna viongozi wetu walivyoshiriki lile zoezi lao la kubariki mkutano wa mabadiriko ya kimazingira basi tegemeeni majanga mengi na makubwa ya kutisha.

Kwa namna kiongoz wenu mzurulaji anapojiweka karibu na hiyo mikutano na hao washirika wa mabadiriko, na ndivyo hata nchi itayapitia hayo hayo aliyoyashiriki ili kuwaaminisha wananchi wake juu ya yale maushetani yao wanayoyafanya huko Jumuiyani(UN).

hakuna wa kutuokoa na hili zaid yetu wa Tz kuamka na kuanza kujitegemea,

Magonjwa, matishio ya ugaidi na vita, ukame, umasikini, njaa kali na ongezeko la wageni kwa mwamvuli wa wawekezaji haya yote tutarajie kuongezeka sana nchini kwa kipindi chote cha uraisi mpaka pale Mabadiriko yatakapotokea.
Hii post yako ingekuwa ni Bidhaa na inauzwa Bei ghali ningeenda hata Kukopa ili ninunue kwani Umeandika vyema, Kiakili ( kama Great Thinker ) na ni Ukweli mtupu. Nakuunga mkono 100% Mkuu. Heko mno Kwako.
 
Wajasiriamali wenzangu ni kwa namna gani tunaweza kugeuza ukame huo kuwa fursa tukapiga hela??
Zipo namna nyingi za kuwageuza mapimbi hawa, matatizo yao kuwa fursa,

yaan mahitaji yao kwetu ni mtaji na utajiri, kama wale jamaa wa viwanda vya A.R.V na condoms wanavyofaidi matunda ya Uzinzi na magonjwa ya uongo basi hata sisi tufaidi utajiri kwa kuwekeza kwenye kilimo cha umwagilliaj, umwagiliaj kutoka ktk visima na nishati ya bure kutoka kwa jua&upepo,

tujenge visima vingi na tuwauzie maji kwa bei kubwa, pia tuwauzie mazao kwa bei umiza mpka wapate akili will be too late[emoji23][emoji23]
 
Hii post yako ingekuwa ni Bidhaa na inauzwa Bei ghali ningeenda hata Kukopa ili ninunue kwani Umeandika vyema, Kiakili ( kama Great Thinker ) na ni Ukweli mtupu. Nakuunga mkono 100% Mkuu. Heko mno Kwako.
Shukrani mkuu, lkn hawayatendei haki, tusubiri yatukute labda watachange
 
Sasa ni rasmi kuwa kuanzia sasa Dunia ( hasa hasa huu Ukanda wa Afrika Mashariki Tanzania ikiwemo) inaenda kuwa na Ukame mfululizo wa miaka Minne ( 4 )

Ninachojua tu GENTAMYCINE ni kwamba Mzungu huwa hakosei hasa pale akipima Kitu chake kwa kutumia Mitambo yake na kufanya Utafiti wa Kina.

Tayari athari za Ukame mkubwa umeshaanza Kujitokeza nchini Kenya ambako Taarifa ambazo GENTAMYCINE nimezipata muda huu naandika huu Uzi ni kwamba Wanyama wao wengi sehemu mbalimbali wanaanza Kufa kwa Kukosa Maji.

Hivyo basi kama Mtu nisiyetaka Unafiki, Upuuzi na Usiri GENTAMYCINE nawaomba Watu ( Mamlaka ) ya TMA muda wowote kuanzia sasa waje na hii Taarifa kwa ( Kwetu ) Watanzania ili kwa haraka sana tuweze kutafakari nini cha kufanya kwani kama Taifa Langu pendwa la Tanzania halitapata Mvua Kubwa ndani ya Miezi hii Miwili ijayo hadi Mitatu upo Uwezekano biashara na Majeneza na Uchimbaji wa Makaburi ya Marehemu ikawa ni nzuri kwa wenye Mitaji.

Nimesikitika mno.
Nadhani Bado hujataka kujishughulisha na ulichosikia,Ngoja nikuambie kwenye satellite kuanzia Ethiopia,Eritia,Somalia,Kenya,South Sudan,Uganda Tanzania kote huonekana ni East Africa lakini katika nchi Zina Hali ya hewa tofauti kabisa.Uganda karibia mwaka mzima Wana mvua,Kenya Upande wa kasikazini ni kukame sana,Tanzania nayo Ina Hali ya hewa tofauti tofauti ukanda wa pwani,Nyanda za Juu kusini,Kanda ya ziwa nk.Hivyo hao DW wanatazama kwa ujumla lakini Kila nchi Ina mifumo yake kuidharau TMA pamoja na usahihi wa 80+ ni kukosa heshima ya taaluma.Kwa TMA walishatoa taarifa ambavyo sidhaji kama Kuna kitu wanaficha.Ukweli ni kuwa tumeharibu misitu sana na tunahitaji nguvu ya pamoja kurudisha uoto.
 
Nawaamini Wazungu hao DW ya Ujerumani na siyo Wewe Mswahili mla Makande yaliyochacha sawa?
 
Tumlaani Jon p aliyekatamitihovyoo huyukatuleteajangakubwa
 
Huku kanda ya ziwa ni wiki sasa mvua zinanyesha mpaka kero.
 
Huna Waziri katika hiyo Wizara bali una Msanii na Mnafiki tupu kama aliyeko Wizara ya Maji anayetutambia Wake zake Wawili wakati Watanzania hawana Maji.
Hujawahi kuniangusha katika maandiko yako. Tutakuja kujua Bashe ni boya watu wakiwa wamekufa.
 
Anza Kutengeneza sana Majeneza kwani ni lazima tu huu Ukame utaondoka mazima na Watanzania 30,000,000 kati ya wale 61,741,120 aliowataja Rais Samia hivi Karibuni. Utapiga mno Hela hivyo Kazi Kwako sasa nimeshakupa idea Kuntu kabisa hiyo.
Uwe Makini isije ukaanza wewe na majeneza yako ukayaacha🏃🏃
 
Watoto wadogo hawajamkosea
Mkuu hali ni mbaya na nawaombeni Watanzania wote tuachane Utani hebu upesi sana tuanze kuchukua Tahadhari juu ya hili na ikiwezekana tuanze Kumuomba mno Mwenyezi Mungu kwani nahisi kuna mahala tumemkosea hivyo amekasirika nasi.
 
Damu isiyo na hatia imemwagika kinachofuata utawala wa shetani 100% tuombe Sana
 
Sasa ni rasmi kuwa kuanzia sasa Dunia (hasa hasa huu Ukanda wa Afrika Mashariki Tanzania ikiwemo) inaenda kuwa na ukame mfululizo wa miaka minne (4).

Ninachojua tu GENTAMYCINE ni kwamba Mzungu huwa hakosei hasa pale akipima kitu chake kwa kutumia mitambo yake na kufanya utafiti wa kina.

Tayari athari za ukame mkubwa umeshaanza kujitokeza nchini Kenya, ambako taarifa ambazo GENTAMYCINE nimezipata muda huu naandika huu uzi ni kwamba, wanyama wao wengi sehemu mbalimbali wanaanza kufa kwa kukosa maji.

Hivyo basi kama mtu nisiyetaka unafiki, upuuzi na usiri GENTAMYCINE nawaomba watu (mamlaka) ya TMA muda wowote kuanzia sasa waje na hii taarifa kwa (kwetu) Watanzania ili kwa haraka sana tuweze kutafakari nini cha kufanya.

Kwani kama taifa langu pendwa la Tanzania halitapata mvua kubwa ndani ya miezi hii miwili ijayo hadi mitatu, upo uwezekano biashara na majeneza na uchimbaji wa makaburi ya marehemu ikawa ni nzuri kwa wenye mitaji.

Nimesikitika mno.
Duh! Tuanza maombi wa ndugu kama zile enzi za mwendazake tulipiga sala corona hakutupata, ikatokea tena janga laukame tukapiga tena sala ikanya booooonge la mvua mpaka mafuriko 1. Sala 2. Sala 3. Sala

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upuuzi kama huu wa TMA ulifanyika mwaka 1996 tarehe 21 May wakati Satellite ya CNN ilipoona Meli ya Mv Bukoba ikizama na Kuwaambia Watu wa TRC ( wakati huo ) na Wao Kuipuuza mpaka pale waliposikia katika Vyombo vya Habari ( Redio na Tv ) kuwa Meli hiyo imezama na Kuua Watu wengi ndiyo wakawaamini CNN kwa Taarifa yao waliyowapa Awali kabisa Ili tahadhari ichukuliwe na Abiria Waokolewe na hata Meli yenyewe.

Inasikitisha mno.
Sisi ni matomaso hatuamini mpaka tushuhudie ndilo linalo tuponza na ndilo linalo turudisha nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kumpangia
Sasa ni rasmi kuwa kuanzia sasa Dunia (hasa hasa huu Ukanda wa Afrika Mashariki Tanzania ikiwemo) inaenda kuwa na ukame mfululizo wa miaka minne (4).

Ninachojua tu GENTAMYCINE ni kwamba Mzungu huwa hakosei hasa pale akipima kitu chake kwa kutumia mitambo yake na kufanya utafiti wa kina.

Tayari athari za ukame mkubwa umeshaanza kujitokeza nchini Kenya, ambako taarifa ambazo GENTAMYCINE nimezipata muda huu naandika huu uzi ni kwamba, wanyama wao wengi sehemu mbalimbali wanaanza kufa kwa kukosa maji.

Hivyo basi kama mtu nisiyetaka unafiki, upuuzi na usiri GENTAMYCINE nawaomba watu (mamlaka) ya TMA muda wowote kuanzia sasa waje na hii taarifa kwa (kwetu) Watanzania ili kwa haraka sana tuweze kutafakari nini cha kufanya.

Kwani kama taifa langu pendwa la Tanzania halitapata mvua kubwa ndani ya miezi hii miwili ijayo hadi mitatu, upo uwezekano biashara na majeneza na uchimbaji wa makaburi ya marehemu ikawa ni nzuri kwa wenye mitaji.

Nimesikitika mno.
Mungu
 
Nawaamini Wazungu hao DW ya Ujerumani na siyo Wewe Mswahili mla Makande yaliyochacha sawa?
Kwa sababu hutaki kuchangamsha akili yako tu.Hakuna anayekataa kuwa kutokana mabadiliko ya Tabia nchi imeathiri muda na wastani wa mvua zilizozoeleka lakini TMA wametoa projection kitu ambacho ni suala kuona kama ni kweli au uwongo.Hivyo wewe kuja na story zako za DW na kutukana TMA wakati hata muda haujafika ni uchuro.
 
Sasa ni rasmi kuwa kuanzia sasa Dunia (hasa hasa huu Ukanda wa Afrika Mashariki Tanzania ikiwemo) inaenda kuwa na ukame mfululizo wa miaka minne (4).

Ninachojua tu GENTAMYCINE ni kwamba Mzungu huwa hakosei hasa pale akipima kitu chake kwa kutumia mitambo yake na kufanya utafiti wa kina.

Tayari athari za ukame mkubwa umeshaanza kujitokeza nchini Kenya, ambako taarifa ambazo GENTAMYCINE nimezipata muda huu naandika huu uzi ni kwamba, wanyama wao wengi sehemu mbalimbali wanaanza kufa kwa kukosa maji.

Hivyo basi kama mtu nisiyetaka unafiki, upuuzi na usiri GENTAMYCINE nawaomba watu (mamlaka) ya TMA muda wowote kuanzia sasa waje na hii taarifa kwa (kwetu) Watanzania ili kwa haraka sana tuweze kutafakari nini cha kufanya.

Kwani kama taifa langu pendwa la Tanzania halitapata mvua kubwa ndani ya miezi hii miwili ijayo hadi mitatu, upo uwezekano biashara na majeneza na uchimbaji wa makaburi ya marehemu ikawa ni nzuri kwa wenye mitaji.

Nimesikitika mno.
Itakuwa mateso kwa nchi ya Tanzania ambayo viongozi wake huchukua hatua na kukurupuka kwenye maamuzi pindi majanga yanapotokea.
 
Back
Top Bottom