TMA yasema mvua kubwa kunyesha Dar es Salaam kwa siku 4 kuanzia Jumatano Nov. 15, 2023

TMA yasema mvua kubwa kunyesha Dar es Salaam kwa siku 4 kuanzia Jumatano Nov. 15, 2023

Duu kifurushi kingine hicho wakati Bado maji yapo majumbani mwetu Bora jua lingewaka angalau wiki
 
Na ndio tumemaliza kukausha Jana leo tumeanza kulala ndani sijui itakuaje
 
Huo Ni Utabiri Wa Hali Ya Hewa Elewa Neno Utabiri Msitutishe Sana Lakini Ni Muhimu Kuchukua Tahadhari
 
Back
Top Bottom