Michael mbano
JF-Expert Member
- Apr 4, 2022
- 820
- 570
madawa ya nje haya ndiyo hatari.Lakini miti yetu poa tu.Dili kubwa sana mjini......nataka kuwa mganga wa jadi,ila natibu nguvu za kiume tu..........na wanawake kutopata ujauzito.......ni dili kubwa mjini maana Kuna shida kubwa sana ktk watu waishio mijini
We umenichekeshaHuyu afisa wa TMDA usikute kachapiwa mkewe na mjuba aliyejishindilia maviagra,roho inamuuma,anaamua kutishia watu sasa!!
Wanaume tukkutane hapa tujue tunafanyaje sasaMkurugenzi Mkuu wa TMDA, Dk. Adam Fimbo amesema dawa za kuongeza nguvu za kiume zinaongoza kwa sasa kwa kununuliwa zaidi kwenye maduka makubwa ya dawa nchini.
Watumiaji wa dawa hizi watakufa kwa sababu zinapanua mishipa ya damu. Mishipa ya kichwani ikishapanuka, itapasuka na hivyo mtumiaji wa dawa hizi atakufa tu.
Chanzo: Nipashe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bora ufe kishujaa
AnaoMarehemu Hana ufahamu wowote.
Yaani na wewe unamwamini huyo daktari asiyejua hata aspirin inatengenezwa vipi? Wa kumwamini ni wale wakemia wanaotengeneza huo mchanganyiko ndo wanaojua dawa hizo zinafanyaje kazi.Duuh! Poleni sana wanaume.
Kama watakubali round moja tuu hatutumii Tena.Wanaume tukkutane hapa tujue tunafanyaje sasa
Kwani wasiotumia Hawatakufa? Mm situmii Ila Wote Njia Yetu ni MojaMkurugenzi Mkuu wa TMDA, Dk. Adam Fimbo amesema dawa za kuongeza nguvu za kiume zinaongoza kwa sasa kwa kununuliwa zaidi kwenye maduka makubwa ya dawa nchini.
Watumiaji wa dawa hizi watakufa kwa sababu zinapanua mishipa ya damu. Mishipa ya kichwani ikishapanuka, itapasuka na hivyo mtumiaji wa dawa hizi atakufa tu.
Chanzo: Nipashe
wanasema round moja iwe ya kushiba, siyo ukiingiza na kutoa tayari
Hivi ndo hizo erecto? Mwenyewe nimeshangaa kama zina madhara makubwa wanaachaje zinazagaa madukani hivyo..maana nazionaga zimetundikwa kabisa.Kama zina madhara yanayopelekea. Kifo kwanini zinaruhusiwa kuingia nchini?
Kama wameonyesha nia ya kudhibiti vipodozi kwanini washindwe kuzui hizo?
Je, ni kipi chenye madhara zaidi, ni kile kinachochubua ngozi ama kinachotanua mshipa wa damu hadi kupasuka na kupelekea kifo?
Wadada wa siku hizi wamekua sugu sana.Hivi huwa shida ni nini mpaka mwanaume atumie dawa ?
Sitaki sana kum refer konde boi ila ndo hivyoWadada wa siku hizi wamekua sugu sana.
Njia hiyohiyo inapitishwa matango na vyupa vya soda daily, sasa sharobaro akijipigia nusu saa anaanza kunangwa kua hawezi kitu,
Mwisho wa siku kijana wa watu anaenda kujipoteza kwenye uraibu wa kutumia hayo madawa.
Hili tendo likichukuliwa kama tendo la starehe mbona halina mambo mengi, ila tatizo siku hizi vijana wanalichukulia ni tendo la kukomeshana na kuonesha umwamba.
Kabla ya mechi unakuta kijana na binti wanatambiana kabisa kua leo nakutoa kwa knock out(KO).
AhsantePole sana ndugu.
Energy hata kunywa tu kikawaida haifai.... vipi kuhusu energy drinks ambazo zinatumiwa almost na rika zote tofauti na dawa za nguvu za kiume zinazotumiwa vijeba peke yao?