TO wa mwaka 2006 kidato Cha sita anatrend mitandaoni baada kufariki 2020

Dunia inamambo
 
Nchi hii ukiwa na akili sana, hakikisha unakuwa humble, maana wenye wivu, chuki zilizochanganyika na uchawi wamejaa sana, hasa kwa mizee ya huko chuoni inayojiita masupervisor.., wachawi sana hao..
Kweli, alikosa mlezi mzuri wa kumsaidia, hata kama aligundua ana uwezo mkubwa... Angebaki kwenye vitendo, kazi zake zingeongea zaidi kuliko kijisifu na kuwaita wengine majina mabaya kama vile โ€œNyumbuโ€.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ