Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Tuwekee picha tafadhari wengine hatujui unazungumzia ya wapiKama unao ushahidi tupatie ili tutoe dukuduku hili.
Makalio?Ujue mwanamke kuwa na makalio makubwa ni kama kipaji kwahiyo anaweza kupuuzia elimu akiamini Ana kitu cha kumtoa
Kwenye hili Taifa tutajie wa3 tu mimi nakutajia walau wawili kwanza.Tatizo cycle yako unakutana na viazi tu , fanya kuji update utakutana nao bwashee
Halafu unaweza kuta hawa ni rika na wazazi wako kabisa mkuu🤔Kwenye hili Taifa tutajie wa3 tu mimi nakutajia walau wawili kwanza.
Ndalichako
Tibaijuka
Ndio kabisa Ndalichako na Tibaijuka ni mama zangu pasina shaka lakini nimewataja kama mfano mzuriHalafu unaweza kuta hawa ni rika na wazazi wako kabisa mkuu🤔
Hivyo ndio vizuri kuvishikilia ili visianguke naweza kuvishikaVidogo kama sikonzi ya 200!
Dogo utauponza!Hivyo ndio vizuri kuvishikilia ili visianguke naweza kuvishika
Acha uchoyo dada kushikwa kidogo tu hautakiDogo utauponza!
Ester Matiko unamuonaje?Sisemi kwamba hawana akili kabisa la hasha nazungumzia akili kwa kipimo walau cha professor achana na akili za kiwaida tu.
Nashindwa kuweka vizuri ili nieleweke vyema lakini kaa % kubwa hawa watu hazimo kichwani ni ngumi sana ama ni kama haiwezekani kabisa kumuona professor mwenye matako makubwa mwili mkubwa.
Hata darsani kwetu shule za kayumba sikupata kuona wala kushindwa na mdada wa aina hiyo tangia chekechea hadi basi.
Kama unao ushahidi tupatie ili tutoe dukuduku hili.
Ahsante